Edu alisema hawez kumleta mchezaji ambaye Arteta hajamkubali ,anachofanya edu anapewa profile husika za mchezaji Kisha anamletea majina Arteta , pia Arteta anaweza kusuggest mchezaji na kumpigia simu, mfano Jesus, ZINNYNilikua najiuliza kati ya Arteta na Edu nani ana nguvu katika usajili, ila sasa nimepata jibu
naona Edu anataka kutujazia wabrazil sema sio mbaya
Pia kuna watu walikuwa wakisema Arteta anachukia baadhi ya wachezaji.Edu alisema hawez kumleta mchezaji ambaye Arteta hajamkubali ,anachofanya edu anapewa profile husika za mchezaji Kisha anamletea majina Arteta , pia Arteta anaweza kusuggest mchezaji na kumpigia simu, mfano Jesus, ZINNY
Sakata la Auba unaambiwa Kuanzia bodi nzima na edu walitaka Auba asamehewe, ila Arteta akagoma akawaletea matukio yake mengi kwa ushahidi, Ila wakaomba wamuachie ,
Arteta pekee akagoma ,na mwisho Auba akafurumushwa ,
Kaangalia Documentary ya ALL OR NOTHING utajua Arteta ana nguvu kubwa kwenye klabu ,kifupi karudishiwa nguvu alizokuwaga nazo Wenger
Mi ikimalizika Octoba nitapata cha kusemaView attachment 2340822
Mkuu Castr sema neno kuhusu hii picha
Au ile kauli ina apply kwa Man U pekee 🤣🤣
Upo sahihi Sasa hivi hata mchezaji akikosea bado anaimbwaPia kuna watu walikuwa wakisema Arteta anachukia baadhi ya wachezaji.
Mimi nikawaambia Arteta hawezi tu kuwachukua wachezaji kuna sababu.
Na ilipotoka hiyo documentary ndo wengi wamemuelewa jamaa ataka nini pale Arsenal.
Pia juzi Arteta kaeleza usuri kuhusu Pepe na kwanini imebidi amuondoe aende NIce. Pepe kakatwa milioni 2.5 mshahara na Nice wtalipa 50% na Arsenal 25% atakaa na wakitaka wamchukue moja kwa moja.
Moja ya positives alizoleta ni mshikamano baina ya wapoenzi na wachezaji sasa hivi ukifika nje ya uwanja ni shamrashamra nyingi na hamasa na uwanja wajaa kama ilivyokuwa pakle Highbury, jambo ambalo hlikuwepo kwa muda kama wa 3 years hivi.
Mimi ni mmoja wa wapenzi wa Arsenal ambae nimeshuhudia mwenyewe tangu Arsenal ya Graham Taylor ambae akamwachia timu Wenger na kisha tukaja kucheza msimu mzima bila kupoteza mechi hata moja yaani Invincibles hadi tulipoingia kipindi kigumu.
Hali hii hutokea kwa kila klabu na zipo clubs sasa hivi zapitia hali ngumu.
Leo mtu hawezi kuniambia kitu kuhusu hii connection ya washabiki na wachezaji kwa Arsenal sasa hivi ipo "very strong".
Na hivyo imeletwa na Mikel Arteta.
COYGs!!
NB: Wapo wakongwe wenzangu wa Arsenal itabidi warudi hapa, Balantanda, Belinda Jacob c'mon guys, Arsenal is back!.
Mwisho ni saa Tisa usiku ya Huku kwetu mkuuSo kwa hizi tetesi
Kila mahari tumepeleka ofa
M nasubir saa situ tu ndo nitajua mbivu na mbichi
Ndugu , Elneny Ni injury ,hata yeye kapost IGChanzo kikuu cha taarifa za Arsenal ni arsenal.com ambayo El Neny sio majeruhi hivyo chagueni nani sahihi Arsenal.com au random Tweets copied.
Kila kheri! Usiku wa leo.
Yale Yale maneno yetu ya Kila mwaka....#AFC Klabu inafurahishwa na usajili iliofanya mpaka sasa,na haita panic sababu ya injury zilizotokea hivi karibuni.
kama kuna Wachezaji itaongeza kabla ya dirisha la Usajili kufungwa basi watakuwa ni sahihi kutokana na mpango wa muda mrefu wa klabu. [ @charles_watts ]
Leo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.Vipigo vikianza kuna kenge zitapotea humu
sasa mechi gani ya kukosa ushindi hapoLeo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Leo akijitahidi sana ni draw halafu ana mechi nyingine 3 mbele za kukosa ushindi.
AsaniWali, AsaniUbwabwa, AsaniMandondo leo ndio mwanzo wenu wa kutumia mkongojo halafu jumapili mnapasuka si chini ya goli 4.View attachment 2341046
Hahaaha! Jamaa unachekesha kweli.Leo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Leo akijitahidi sana ni draw halafu ana mechi nyingine 3 mbele za kukosa ushindi.
AsaniWali, AsaniUbwabwa, AsaniMandondo leo ndio mwanzo wenu wa kutumia mkongojo halafu jumapili mnapasuka si chini ya goli 4.View attachment 2341046
Leo ndio utajua hujuiLeo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Leo akijitahidi sana ni draw halafu ana mechi nyingine 3 mbele za kukosa ushindi.
AsaniWali, AsaniUbwabwa, AsaniMandondo leo ndio mwanzo wenu wa kutumia mkongojo halafu jumapili mnapasuka si chini ya goli 4.View attachment 2341046
Hakuna sehemu nimesema wanalipa hiyo hela ,
Hiyo Ni release clause ya mchezaji,
Ukufanya negotiation unamchukua kwa reseonable price
Thus why Kuna taarifa Arsenal wametuma ofa ya £20m na palmeras hawataki kumuuza ,wakilingia kipengere Cha RC ya €100m