Siku ile edu anajinasibu. Haya maelezo sikuyasikia alisema as if yeye na Arteta ndo kila kitu, na kila kilicho tokea kwenye dirisha lililopita n sehemu ya project yao na bodi imewapo go ahead so wana power..Mashabiki tunashindwa kuelewa kitu kimoja, sio Arteta wala Edu mwenye hayo mamlaka, Edu akipewa go ahead analeta mchezaji, asipopewa unataka atoe yake mfukoni, hizi projects zina mikakati yake, huenda board ilishakaa na kuamua no signings in January, tutasubiri hadi summer unless kuwe na significant need. Sisi tunabaki kulalama ooh Arteta ooh Edu.
Kwani youri n Dm!? yule nafkir tulikua tunamtaka Kama mbadala wa xhakaYouri anunuliwe tu, there's no way timu ika rely kwa pancha, unless we need to be a mediocre team, laa sivyo aje mtu wa kumpa Partey competition. 25 million pounds for Youri seems relevant, given that he's just 25yrs old, hata kama mkataba wake unaisha next yr
Hizi ni stats za mechi 50 alizocheza. So yeah, anaweza kucheza kama DM.Kwani youri n Dm!? yule nafkir tulikua tunamtaka Kama mbadala wa xhaka
Huyo ndo mchezaji naemuota kila siku aje arsenalIf injuries to Partey and El neny are considered significant,Arsenal could make a late move for Youri Tielemans
(@garyjacob) 🌖
Bukayo Saka confident bumper deal at Arsenal will be agreed https://t.co/Dxi81HNUKz
Ooh sikujua, nilifikir n namba nane tu.Hizi ni stats za mechi 50 alizocheza. So yeah, anaweza kucheza kama DM.View attachment 2340642
Naona wapinzani hasa manyumbu mnaumia saana sisi kushinda mechi zetu 4 za kwanza na kuongoza ligi..
Mlitaka na sisi tuanze vibaya km mlivyoanza nyie?
Mwaka jana tuanza vibaya mkaongea sana.. sasa mnatakaje?
Tunajua ligi bado ni mbichi, sasa mbona mnaumia sisi kukaa juu? Mbona nyie mlikaa msimu ulioisha kwa mechi za kwanza mkawa mnajiita 'tittle contenders'!
Sisi tunasema hivi.. mwaka huu mtaumia sana nyie maibilisi wekundu!
Na game ya jumapili tunakuja kuwafunga pale pale nyumbani kwenu hata kama tukiwa pungufu, tuwaonyeshe mwaka huu tumekuja vipi!
Pumbaaf kabisa!
Nilikuwa shamba kaka, sijaona gemu hii 😂Watu wamevunja daraja na mendy kumbe ni kiazi
Mkuu Partey hakuwa mchezaji wa majeraha alipokuwa Spain, alikuwa anakichafua msimu mzima labda akae nje Kwa ajili ya squad rotation tuEl_cholo ni mjanja Sana,,,,alijua huyu jamaa ana record ya majeruhi,,,! Nyie mkajaa kichwa kichwa !!!
Tom PArtey soon ataingia kwenye levo za kina ox, thiago, cavani, keita, n.k! When he is there anaprovide 100%, tatizo pancha !!!! PArtey huyu mnaemuimba hawezi kucheza mechi 8 consecutively,,,,, !! Epl Ni long run!!!
Ingie sokoni chap, au zameni hapo king power mumchukue Ndidi,,, !!
Machungu ya EPL mtaanza kuyaona kwa bwana stive G, mechi zilizopita hana matokeo mazuri, atawakamia Sana na hii mido yenu ya lokonga !!!
El_cholo ni mjanja Sana,,,,alijua huyu jamaa ana record ya majeruhi,,,! Nyie mkajaa kichwa kichwa !!!
Tom PArtey soon ataingia kwenye levo za kina ox, thiago, cavani, keita, n.k! When he is there anaprovide 100%, tatizo pancha !!!! PArtey huyu mnaemuimba hawezi kucheza mechi 8 consecutively,,,,, !! Epl Ni long run!!!
Ingie sokoni chap, au zameni hapo king power mumchukue Ndidi,,, !!
Machungu ya EPL mtaanza kuyaona kwa bwana stive G, mechi zilizopita hana matokeo mazuri, atawakamia Sana na hii mido yenu ya lokonga !!!
Acha aisseee. Yaani mtu ana release clause ya 100m na Yuko Brazil? Waache utani aisee🚨Arsenal have made a 20m pound bid for Palmerias midfielder Danilo. However the offer will be rejected and Arsenal will be told to pay his release clause of 100m
(@simpraisa /@thirfernandes) 🌕 Tier 1 https://t.co/UqlnnYPEZU