Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dogo anajua balaa

Ila arsenal lazima washushe mtu mmoja
 
Kuna tetes za mbali za zaha kwenda arsenal au Chelsea dk za mwisho

HUYU jamaa tukimpata nitafurahi

Namkubali toka yupo palace ile mara ya Kwanza , kipind Wenger kamtaka akiwa championship ,akaenda man u akawa flop

Akija Sasa hivi itakuwa balaa

Inasemekana hata kesho anaweza asiwepo ,

HUYU jamaa akisikiaga arsenal tunamtaka huwa anachanganyikiwa kabisa

Inasemekana anajiandaa ku hold request ya kuondoka
 
yaaap jamaa inabdi apunguze izo mistake kbsa upo peke yko na mpira afu watetemeka tetemeka badala ya kuachia mpira kwa wenzako
 
Kaka kwani brazil Ya pele haijawhi kufungwa? Ya kina zico, Romario, vipi kina dinho na de lima?
Barca ya messi, xavi na iniesta je,?
Vipi hao hawakuwa ni muhimili wa timu!?
 
Binafsi ninawish mno, Zaha & St.maximin nawakubali.
 
lazima nyumbu akae, tunaomba ashinde vs Leicester city ili wajiamini zaidi
Japo Leicester city game zote walizocheza, nimeziangalia.
Wamepiga mpira wa kiwango duni sana

Game na Chelsea,
Ndio Leicester nikasema hawa washakua wapuuzi

Ila sitashangaa wakimgeukia nyumbu
 
Gutted for Mo Elneny, a player that always gives 100%. Wishing you a very speedy recovery @ElNennY

Mpe Nafas usimpe hatalalamika ,atapiga kazi bila shida

Now Arsenal wanaangalia UWEZEKANO wakushusha kiungo mpya

Je atakuwa Nan?
 
Arthur Melo au kiungo gan anapatikana sokoni kwa sasa?
Ceicedo
 
Gutted for Mo Elneny, a player that always gives 100%. Wishing you a very speedy recovery @ElNennY

Mpe Nafas usimpe hatalalamika ,atapiga kazi bila shida

Now Arsenal wanaangalia UWEZEKANO wakushusha kiungo mpya

Je atakuwa Nan?
Hili ni tatizo sugu la hii timu, just 4 games majeruhi yameanza.
 
Arsenal itashinda vikombe vya Champions league mara nyingi kwa hii miaka kumi ijayo kuliko timu yoyote, na hutoandika tena huu upuuzi, mark my words.

Nimecheka mpaka watu wamenishangaa🤣🙌
Mungu aendelee kutupa uhai tushuhudie huu muujiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…