Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leeds unamshindwa, huko UCL na epl, crabao upo na city, msimu huu msipoumwa Sonoma ,basi tena
Wewe nenda Uropa huko ukakutane na wanaume wa Uropa wakushone.

Sisi Chelsea kombe la Uropa ni dogo sana kwetu, maana mara zote tulizoshiriki tulibeba.

Tena mara ya mwisho nilibeba nikikushona wewe mwenyewe.,
 
Elendele kuumia huko ulipo,ila hatufanani na Maguire hatumuuzi.
 
View attachment 2335517
Best wishes Kwa Chama kubwa, hope tutashinda mechi zote na kuongoza Kundi letu. Hapo mgumu labda huyo PSV

COYGS
Huyu bodo last season kama sijakosea alimpiga Roma goal 6 kwa 1 na game iliyofuata akatoa sare sio timu rahisi pia but Arsenal game zote anatakiwa acheze kwa tahadhari hao Zurich siwafahamu ila hao wawili licha hawana squad selection kama yetu but tahadhari muhimu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
group la moto ili aseeeee
Though Arsenal ni timu kubwa kuliko hizo, na isitoshe kuja huku ni kama bahati mbaya. We had a chance to make Top 4 but kuumia Kwa Partey na KT ikafanya tuikose.

Anyways, tuna kikosi kilicho imarika zaidi Mwaka huu. Na my prediction tunakwenda kuchukua hiki kikombe πŸ’ͺ
 
Nyie arsenyeto mmeona kundi lenu la kifo huko futuhi
Timu hata kombe la UROPA haina si laana hii
Nasubiri tuje kukudhihirishia how Big we are Kwa kubeba hiki Kikombe.

Nimeishuhudia Arsenal ikiimarika siku hadi siku tangu tumeanza Preseason, nikuhakikishie ndugu Mjumbe, this could be our best seasonπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Nasubiri tuje kukudhihirishia how Big we are Kwa kubeba hiki Kikombe.

Nimeishuhudia Arsenal ikiimarika siku hadi siku tangu tumeanza Preseason, nikuhakikishie ndugu Mjumbe, this could be our best seasonπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
Mkuu uliwezaje kushabikia hii timu aisee mbona hufanani na hii timu miaka 18 sasa bila epl arsenyeto bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu uliwezaje kushabikia hii timu aisee mbona hufanani na hii timu miaka 18 sasa bila epl arsenyeto bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunaendelea kusuka timu nzuri, yenye kiwango, angalia wastani wa Umri wa Wachezaji wetu tulionao. We have bright future with those kids Infront.

Pamoja na Walimu wengi waliopita pale, ila Mzee Wenger alitu inspire wengi kushabikia hii timu. Nimeacha kutumia Ulabu enzi za Ujana but sio hii timu.

Kuna wakati nimewahi kujaribu kuiacha lakini mara zote nimeshindwa, Nahisi mpaka kifo kitutenganishe πŸ€—
 
🚨 Mikel Arteta amethibitisha kuwa wachezaji wote wako fit kuivaa Fulham siku ya jumamosi isipokuwa Rein Nelson tu ambaye ndo hajawa sawa kucheza kutokana na majeraha japo ameanza mazoezi

Mchezo wa kesho dhidi ya Fulham utakuwa mchezo wa 100 kwa Mikael Arteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…