Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Mwaka jana Chelsea alitembeza fimbo ,Tena sio hizo game tatu ,game 12 anawasha tu mpaka kina ambangile wakampa ubingwa ....unijua epl wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani upewe kombe kwa game 3 aiseee Kama hujawahi ona maajabu ya Dunia keep watching English premier league ....!Moja kati ya timu yenye kikos finyu, Liverpool nae yupo
Ukiondoa ile starring 11 yake, bench hakuna watu
Katika hiko kikos chake cha kwanza. Wazee 90% na katika hao wazee pancha zipo za kutosha humo
Alcantara ndio pro pancha
Livekuku nisipo muona top4 wala sitashangaa
Man u, hii ni maiti ambayo jana imemng'ang'a muoshaji
Ukuta wa nyumbu una breach sana,
Jana bahati tu haikuwa upande wa liverkuku
Chelsea, huyu ni kama mgonjwa wa kichaa. Huwa kinatulia
Lakin muda wowote kinaamka(kupata matokeo mabovu)
City huyu ndio anatishia amani kwa sasa
Japo game alizo cheza so far
Sio yule city ambae anakutafuta kweli kweli
Haland ni finisher mzuri, lakin anapoza mashambulizi
Katika hizi game tatu, ARSENAL ameonesha kiwango kikubwa sana na mpira mzuri
Yani kila mchezo ni mzuri kuliko uliopita, hii inamaana gari linawaka kwenye mteremko
Arteta ni kocha wa mwezi as things stand
Liverpool na city wakiendelea hivi, basi watupe hilo kombe kuokoa muda
Come on you gunners[emoji110][emoji110]
Ndio maana nikakuambia Chelsea ni kama mgonjwa wa kichaaMwaka jana Chelsea alitembeza fimbo ,Tena sio hizo game tatu ,game 12 anawasha tu mpaka kina ambangile wakampa ubingwa ....unijua epl wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani upewe kombe kwa game 3 aiseee Kama hujawahi ona maajabu ya Dunia keep watching English premier league ....!
Tusiongee sana kuna Europa league na World Cup competitions na EPL bado mbichi anything can happen kwa sasa tuendelee kuangalia upepo hadi December after Christmas [emoji319] tuendelee kupata good results kwa sasa Arsenal last season katika game 3 alikuwa ana point 0 na Manchester United 7 points na tukamaliza juu yake kwa gape kubwa la points tutulieMoja kati ya timu yenye kikos finyu, Liverpool nae yupo
Ukiondoa ile starring 11 yake, bench hakuna watu
Katika hiko kikos chake cha kwanza. Wazee 90% na katika hao wazee pancha zipo za kutosha humo
Alcantara ndio pro pancha
Livekuku nisipo muona top4 wala sitashangaa
Man u, hii ni maiti ambayo jana imemng'ang'a muoshaji
Ukuta wa nyumbu una breach sana,
Jana bahati tu haikuwa upande wa liverkuku
Chelsea, huyu ni kama mgonjwa wa kichaa. Huwa kinatulia
Lakin muda wowote kinaamka(kupata matokeo mabovu)
City huyu ndio anatishia amani kwa sasa
Japo game alizo cheza so far
Sio yule city ambae anakutafuta kweli kweli
Haland ni finisher mzuri, lakin anapoza mashambulizi
Katika hizi game tatu, ARSENAL ameonesha kiwango kikubwa sana na mpira mzuri
Yani kila mchezo ni mzuri kuliko uliopita, hii inamaana gari linawaka kwenye mteremko
Arteta ni kocha wa mwezi as things stand
Liverpool na city wakiendelea hivi, basi watupe hilo kombe kuokoa muda
Come on you gunners[emoji110][emoji110]
Wanasema mlete arteta....Nimeamin ushabiki wa mpira huwezi kuutenga na hisia na mihemko
Man utd juz tu walikua wanyonge, vichwa chini
matumaini waliyo yapata pre season yakayeyuka lawama kibao kwa wachezaji mpaka kocha wakawa wanamwona kilaza
Jana wameshinda wameanza kuota ubingwa[emoji3]
Washa sahau[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arsenal alianza Ligi vibaya kwasababu alikosa wachezaji muhuminu karibu 8 , tofauti kabisa na man u ambaye had kina cr7 wapo, tuneanza Ligi Auba,laca,Ben White, Odegaard, Ramsadale, Tomiyasu,Partey,hawapoTusiongee sana kuna Europa league na World Cup competitions na EPL bado mbichi anything can happen kwa sasa tuendelee kuangalia upepo hadi December after Christmas [emoji319] tuendelee kupata good results kwa sasa Arsenal last season katika game 3 alikuwa ana point 0 na Manchester United 7 points na tukamaliza juu yake kwa gape kubwa la points tutulie
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Bado mech 2 tu tutakutana nao watajionea ,Kama tunabip au tunapigaWanasema mlete arteta....
Arsenal kuna players ambao inabidi kuomba wasiwe majeruhi Jesus Partey Zichenko Saliba licha most players wote wapo vizuri ila hao nliowataja ndio wameongeza kitu plus Partey hata last season baada ya kuumia Partey na Tierney (imagine two players)wakaifanya Arsenal ikose balance na kuambulia vipigo mechi za mwisho na kukosa top 4Arsenal alianza Ligi vibaya kwasababu alikosa wachezaji muhuminu karibu 8 , tofauti kabisa na man u ambaye had kina cr7 wapo, tuneanza Ligi Auba,laca,Ben White, Odegaard, Ramsadale, Tomiyasu,Partey,hawapo
CF Balogun, mabeki walikuwa kina Kolasinac ,
Kuna sehemu nimeona fafanuzi ZaidiTAARIFA
Arsenal nashangaa kuchunguzwa wakati matumizi yetu sio makubwaView attachment 2332260
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Exactly, ni mapema mno kuanza kuongelea ubingwa. Ni kweli tunafanya vizuri lakini let's take one game at a time kwa kwa sababu hapo katikati kuna World Cup, wachezaji wetu wataenda huko, kuna injuries na fatigue...bado sana! Mwanzo mzuri ila May ni mbali sana.Tusiongee sana kuna Europa league na World Cup competitions na EPL bado mbichi anything can happen kwa sasa tuendelee kuangalia upepo hadi December after Christmas [emoji319] tuendelee kupata good results kwa sasa Arsenal last season katika game 3 alikuwa ana point 0 na Manchester United 7 points na tukamaliza juu yake kwa gape kubwa la points tutulie
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Arsenal tunaweza kufungiwa kusajiri tusipokuwa makini,.
[emoji599] Arsenal are among 20 European clubs on a UEFA watchlist of teams who may be in danger of breaching Financial Fair Play. Arsenal have had among the highest losses in the Premier League over the past three years, a total of £213m. [@martynziegler] #afc
FACT na sababu Guardiola amewauza Jesus Zichenko Sterling kaleta Halaand ila PSG analaumiwa sana ni kweli havunji hii sheria?bosi wa Newcastle bila hizi sheria angewanunua Ronaldo Messi Mbappe Neymar na kuwalipa pesa wanayotakaHamis, let me try to explain this in a simple language: the main purpose of introducing FFP evolved from International Accounting Standard IAS 38( accounting for intangible assets).it principally aims at preventing economic doping. Kama tunavyolalamika hapa Kroenke hatoi hela za kununua wachezaji (pengine tunalamika bila kujua) na pengine tunalalamika bila kujua maswala ya uhasibu wa timu za mpira yanakuwaje. Timu za mpira zinatakiwa kujiendesha kutokana na mapato yake (self generated revenues), this is one of the objectives of FFP mengine ikiwa ni transparency, credibility etc.
utaona hapa kwamba wanalenga kuua utegemezi wa wamiliki wa timu kuendesha timu kwa kiwango kikubwa. Ndio maana timu kama Newcastle haijanunua wachezaji wengi.