Umeongea kinyonge Sana, mtakutana na kichapo tu hamna namnaMna raha wenyewe...vingereza vingii.....
Dah! Sijui kesho tutaendelea kushika mkia!?
Jesus sawa ila zincheko kuja arsenal nimeumia sana kudadeki pep kwanin lakin
Amna kitu hapoKama Dream team inarudi hivi emb ngoja tuone tukikutana na big teams
Edu yuko vizuri, analeta kile kinachotakiwa. Nadhani wanajua wanachokitaka.Ninachotaka Kwa Arteta ni ashinde mechi nyingi iwezekanavyo, tena Kwa kutoa burudani. Pia ajitahidi kutumia kikosi vizuri wachezaji wasiumie. Kwa sasa sijali anamsajili nani maana anaonekana kama anajuajua anachofanya hivi....
Edu na Mikel wanachanga karata zao vizuri kwa sasa.Edu yuko vizuri, analeta kile kinachotakiwa. Nadhani wanajua wanachokitaka.