Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mmeyaonaa matusii y Zinchenko lkn?
Bonge la gifted LB 🔥🔥
 
Siku hizi Arsenal unaiangalia huku mguu uko juu.. No stress!

Kwanza wachezaji hawatoki hata jasho. Wanagusa tu!
Ndio nilisema juz hapa ,Mambo ya kuhold ya nn Tena, Kwanza tunapunguza majeruhi yalazima
 
Unaambiwa ivi, hakuna mchezaji wa Bournemouth aliegusa mpira kwenye boksi (18yard) la arsenal😅😅
 
Siku hizi Arsenal unaiangalia huku mguu uko juu.. No stress!

Kwanza wachezaji hawatoki hata jasho. Wanagusa tu!
Huu Ni mpira unaohitaji technical players ,

Tuliucheza kipind Cha Kwanza kwa palace ,na Emirates juz, kadri siku zinavyosogea tutakuwa tunampigia mtu full
 
Yaani unatamani uione Arsenal ikicheza kila siku kwa huu mpira.

Burudaaani kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…