MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,291
- 2,368
4-0/4-1
Sare ya nini?Flano naona umekuja kutusabahi au sio,
Jtatu tafuteni hata sare kwa livakuku, Safari hii mbio za ubingwa Ni Arsenal na Mancity ,
Nguvu tunazo na Nia tunazo,
Nawaombea sare au mushinde jtatu
Wolves wamepata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.This is nothing new from Tottenham. They've played several games in this fashion and won due to a moment of brilliance from Kane/Son.
And then call Conte is genius
Halafu Kuna wachambuz kabisa wanakwambia Spurs anagombea UbingwaWolves wamepata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia.
Kipindi cha kwanza kinaisha Wolves wana attempts 9 halafu Spurs attempt 0.
Yan conte mpira wake ni kuvizia tuThis is nothing new from Tottenham. They've played several games in this fashion and won due to a moment of brilliance from Kane/Son.
And then call Conte is genius
ili ujue epl ni Nini subili uone game yenu na bounmounth ,Hilo goli moja unalosema utalitafuta kwa manatiUnasajili wachezaji nane ili ushinde 1-0 at home. Hii game nilidhani itaisha 1-1
Muhimu point 3Unasajili wachezaji nane ili ushinde 1-0 at home. Hii game nilidhani itaisha 1-1
Sawa Dr. Flano 😂🤣Sare ya nini?
Liverkuku watubonde tu ili presha iwe kubwa zaidi kwa mashabiki kumtaka Glazer auze timu.
Hapo Glazer atatoa pesa ndefu ya usajili kabla dirisha halijafungwa ili kuwapoza mashabiki wanaomtaka aachie timu.
Akili mtu wangu.
Southampton kwa wanavyocheza natabiri watapigwa 10-0 na Arsenal.
Kwa yule kipa wao Soton kutoka ligue 2 england ,wasubirie kushuka daraja ,Southampton kwa wanavyocheza natabiri watapigwa 10-0 na Arsenal.
Usikimbie tu baadaeArsenyeto mkishinda Leo mniite mbwa nimekaa pale