Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Yes! makaveli10 sorry kwa kuelewa vibaya maoni yako awali.Hatubishani, tunapeana mbili
3 za soka kaka.
Rudia kusoma ulichoandika mkuu, vinajifunga vyenyewe.
1.umesema
"thomas Partey hakuletwa kuchukua nafasi ya Xhaka ndio maana wapo wote uwanjani. Xhaka hakuwahi kushindwa kazi yake, kinacho kuchanganya na wengine wengi ni kudhani Xhaka ni DF.
Sote humu tulikuwa tunalalamika xhaka kutumika katika nafasi asiyoimudu, atumike kama anavyojicheza timu ya taifa, ikafika hatua tukagawanyika, wengine wakisema auzwe (mimi mmoja wapo), japo msimu huu kaimarika.
2. Umesema
"Xhaka alitumika hiyo nafasi unayosema "Kazi ilimshinda" kwa kuwa Wenger hakuwa na option ya ziada baada ya majeruhi ya Francis Coquelin, Jack Wilshire, Aaron Ramsey, Santi Cazorla, Chamberlain, inconsistency ya ElNeny, Flamini na Rosicky walikuwa wanondoka na Mikel Arteta alikuwa amestaafu"
Hapa kwa kilugha maana yake ushakubali xhaka katumika DF, basi partey hakuja kuchukua nafasi ya xhaka ila alikuja kuchheza nafasi ambayo sisi hatuna wa kuicheza kiasi xhaka analazimishwa kucheza hapo.
Mimi sikuwa huko kwanini xhaka anapata nafasi kwa kila kocha, wala partey kaja chukua nafasi, nilikuwa nazungumzia PARITEY KUONEKANA HANA IQ YA SOKA.
ukisoma tena uttanielewa kaka, nimezungumzia kuna vitu si cha mchezaji mmoja, ila ni timu nzima hao kina busquets si kazi ya mtu mmoja ila ni kazi ya timu nzima, na ndio maana ikaitwa timu(kiingereza TEAM)
Thanks kwa maelezo ya kina kwa ulichomaanisha makaveli10 nimekuelewa niliteleza kuelewa ulipofafanua kuhusu positions.Naona ndugu isajorsergio alisoma ila hakuelewa nimaanishacho.
Shukrani kwa ufafanuzi.
Binafsi alipoluwa anatumika position tofauti na ya national team na kutoa maboko nikatamani hata auzwe aende kwa watu wanaojua kumtumia, ilipokuja pauni milioni 18 ya roma nilitamani aende kiukweli maana tulikuwa tumamdhalilisha.
Msimu huu niliandika sehemu kuwa xhaka ana mabadiliko atatufaa, yule akianza fresh, akiwa benchi fresh pia unakuwa na kikosi kipana.
Usijali kaka, hakuna mahala umenikosea ndugu yangu.Yes! makaveli10 sorry kwa kuelewa vibaya maoni yako awali.
Nimesoma na nimekuelewa uzuri baada ya kuunganisha na haya maelezo. Sorry if I sounded different but we good always. π
Pamoja mzeeThanks kwa maelezo ya kina kwa ulichomaanisha makaveli10 nimekuelewa niliteleza kuelewa ulipofafanua kuhusu positions.
Sasa nimeelewa maana yako. π
Moja ya players waliotakiwa wawe wamefurumushwa ni huyo Nketiah problem inakuja kwa sasa kumpata forward katika football ya sasa ni ngumu sana that's why Arsenal wakamkimbilia Jesus kwa nguvu zote na ndiye starter wetu kwa sasa Nketiah ni moja ya players ambaye anaamka na mood ya kuplay sio wa kumtegemea katika kila match kama Jesus na Nketiah aendelee kuwa back up ila ameachwa km 100 na Jesus hakuna anachomfikia hata robo na Arsenal haiwezi sajili scorer wa maana tena aje akae benchi au Jesus akae benchi Nketiah atacheza FA na Europa league kwenye stage za mwanzo atasaidia kwa kiasi chake ndio michuano yake licha hapa mwishoni kwenye league aliamka but sio mchezaji wa kukupa results au trophiesNketia kwa sasa Amekomaa na kukua pia, dakika chache anazopata na kuzitumia zinaonyesha hilo, yuko faster,ana shoot, anaweza tokea kushoto na kulia na akaingia kwenye box kwa kasi ile ile , ila anazidiwa vitu vichache sana na Jesus.
Nketia ni finisher mzuri zaid ya Jesus ila jesus ana vingi zaid ya Nketia
Tabu iko pale paleNyumbu wana mchukua Casemiro
Mtateseka sana mwaka huuNyie vilaza mwez 10 kumi sio mbali muda wenu wa kunenepa utaisha.
Harry maguire: chelsea interested in singning manchester utd captainπ₯π₯π₯π₯π₯Nyie vilaza mwez 10 kumi sio mbali muda wenu wa kunenepa utaisha.
Wanateseka Sana, timu lao linashinda kwa kubahatisha Sana,Mtateseka sana mwaka huu
Nyumbu wana mchukua Casemiro