Yan we jamaa bana..Mlivyo tulia kama mabingwa wa uefa vile kumbe wapiga punyeto tu arsenyeto nyie
Kaka ww ni arsenal nnYan we jamaa bana..
Hapana mkuu nlikua napita pita tuu humu...me jukwaa langu ni la cityKaka ww ni arsenal nn
Pazito hapo mzeeHapa HATUTAKI kupoteza point hata 1 , mbeleni tutajua itakuwajeView attachment 2327256
FA, Europa ata cheza nani() Nice are getting closer to get the deal done for Nicolas Pepe. (@sachatavolieri) https://t.co/km7QlBtBF6
Team ipi ambayo ni nzito hapo?Pazito hapo mzee
Brentford ni mechi ngumu, they're so so tactically, Wanacheza long kick kubuild play na wanafanya high line press off the ball.Team ipi ambayo ni nzito hapo?
Ina maana tuna 0.5 Xg in every single chance, wakati penalty ina 0.7xg, so kila chance kwetu ni kama penalty tu, Mikel Arteta is genius.Most xG created so far this season:
◎ Arsenal - 4.56
◎ Liverpool - 4.44
◎ Chelsea - 3.99
Now tupo fine kwenye final 3rd, sio km kipindi cha Lacazette, at least we can score 5 goals in every 10 chances we create.
Labda arsenal ya msimu uliopita mkuuBrentford ni mechi ngumu, they're so so tactically, Wanacheza long kick kubuild play na wanafanya high line press off the ball.
Msimu huu ni city na liver tu mkuuIna maana tuna 0.5 Xg in every single chance, wakati penalty ina 0.7xg, so kila chance kwetu ni kama penalty tu, Mikel Arteta is genius.
Binafsi naziogopa Newcastle away, Brentford away, Spurs away, West ham wanakuwaga tafu ila watakufa. Kama tunampata Tielemans + RW nadhani confidence itaongezeka.Labda arsenal ya msimu uliopita mkuu
Arsenal hii namsubiri liver na city tu
hizo timu ulizotaja mimi naziogopa zaidi brentford,westham na spurs hasahasa namna zinavyo excute maelekezo ya walimu wao.hawakubali hata kidogo kwenda na rhythm ya mpinzan wao.Binafsi naziogopa Newcastle away, Brentford away, Spurs away, West ham wanakuwaga tafu ila watakufa. Kama tunampata Tielemans + RW nadhani confidence itaongezeka.
hakujawahi kuwa na team ya namna hiyo wewe.arsenal invicible club.mmh labda nisaidiweArsenal invincible club timu bora ya dunia iliyomsumbua Madrid
Nketia kwa sasa Amekomaa na kukua pia, dakika chache anazopata na kuzitumia zinaonyesha hilo, yuko faster,ana shoot, anaweza tokea kushoto na kulia na akaingia kwenye box kwa kasi ile ile , ila anazidiwa vitu vichache sana na Jesus.nimejipa homework kumfatilia nketiah,the guy ni natural striker kabisa kuna muda baadhi ya game awe anaanza.movements zake,positioning,runnings zake kwenye kumi na nane na namna anavyoscore the guy is totally number 9(in my view).
its up to arteta whether kill him(kwa bench na few minutes) au amfanye kuwa target man wake.the guy is a killer ila anahitaji mental maturity tu.na hii ataipata kwa experience uwanjani jinsi anavyobebeshwa majukumu na jinsi kocha anavyoongea nae on and off the pitch