Baada ya kufatilia malumbano ya hoja
Hasa text za
Will Jr nikijitahidi kusoma line after line
Nimegundua kwamba mmepisha sehemu ndogo tu
Ipo hivi, partey ni anchor, kama uti wa mgongo pale arsenal
Hili wote mmelikubali akiwemo willjr
But how come, tunajikuta tupo kwenye high pressure ata kama tumetangulia kwa goals, mfano game ya Crystal palace?
Ilibid tukiwa tushaweka goals kadhaa, tuweke mpira chini, zipigwe sambusa
Wakijichanganya mtu anachomoka kambani... Mpira uende hivyo
Will Jr mtazamo wako mzuri sana
But unachozungumzia ni responsibility ya whole team
Sio kazi ya mtu mmoja. Anamuonea tu partey
Partey kazi yake kuhakikisha supply ya mipira kutoka nyumba kwenda mbele ipo wakati wote
Kuwin mipira
Kutibua mipango ya wapinzani,
yeye akipata Mali ataachia, kwenye nafasi atajaribu
Kutaka partey awe na anao anao, mwezi wa 10 mbali partey anarudi wodin
Possession ball ni whole team,
Mpira ukiwa mguuni kwa saka/odegard/martinel/jesus/Rowe/xhaka
Yan ukiuchukua uwe umecheza faulo.
Kazi ya partey nimeelezea hapo juu na ndio mahitaji ya arteta
Kuhusu possession ni team nzima