Sergio ni single pivot player toka kipindi cha pep Guardiola, hata kwa sasa Barca wanatumia 433 under Xavi, role ya Sergio ni kama Partey at Arsenal.Unadhani sergio hiyo kazi ni pekee yake.. Katika mpira kuna pairs.. Mmoja akitoa boko mwingine anakuwa katika wakati mgumu, sergio shughuli yake ilikiwa nyepesi na kina xavi, je busquets huyu ndio yule!?
Na wasiwasi una tatizo la afya ya akili, au una overthink Sana imepekekea matatizo,Mfano mzuri mkuu, Thomas partey is physically & technically better than Sergio bosquets, lakini nani anacontrol games vizuri btn them? Jibu ni Sergio bosquets, why? He got an IQ, he understands how to dictate the tempo of the game.
Mr mikel Arteta umemquote hapo juu anaongea kuhusu kuusoma mchezo, reading the game, maana yake kwamba tunaongoza goli nne mchezo uwendaje? Au Tumefungwa tupo nyuma kwa goli moja mchezo uendaje? Na anasema wazi ndio kazi ya Partey.
sasa Mr Partey tunaongoza goli 4 yeye yupo vertical tu instead of making it simple & short, nikisema analack IQ nakosea? Na nashangaa unamsupport it's ok kutokuhold mpira for a while wakati timu inaongoza goli 4, sasa atacontrol vipi mchezo? Kwa kucheza direct footie, sisi sio Counter attack teams, we're possessional based.
Ndio maana mimi na wewe hatuelewani, na hatutoelewana, tuache km ilivyo mkuu, mie nazungumzia tactically we unasema namzungumzia individual.Wtf bro! Iam talking of control, i don't talk of how good he is, mbona tunashindwa kuelewana kwa vitu vidogo tu, im talking of tactical execution from MR partey. Siongei kuwa ana ubora gani individually.
kitu kingine Xhaka sio mchezaji wa single pivot, na hajawahi kucheza single pivot.
Hujajibu swali, unadhani alichokuwa anakifanya sergio hakina msaada wa kina xavi? Akicheza na beki maguire, kiungo mctominay atafanya kwa usahihi anachofanya!?Sergio ni single pivot player toka kipindi cha pep Guardiola, hata kwa sasa Barca wanatumia 433 under Xavi, role ya Sergio ni kama Partey at Arsenal.
Kuna tatizo huenda jamaa limemkumba, Siku hizi kumekuwa na shida nyingi ,ndio maana hate matukio ya watu kujiua ,kuua ,yamekuwa mengi,Ndio maana mimi na wewe hatuelewani, na hatutoelewana, tuache km ilivyo mkuu, mie nazungumzia tactically we unasema namzungumzia individual.
Umesahau xhaka kacheza pale ndio alikiwa anaenda kupokea mpirani kwa kipa au beki za kati then mabolo likolo yakawa yanazaliwa. 😂
Kuna tatizo huenda jamaa limemkumba, Siku hizi kumekuwa na shida nyingi ,ndio maana hate matukio ya watu kujiua ,kuua ,yamekuwa mengi,Ndio maana mimi na wewe hatuelewani, na hatutoelewana, tuache km ilivyo mkuu, mie nazungumzia tactically we unasema namzungumzia individual.
Umesahau xhaka kacheza pale ndio alikiwa anaenda kupokea mpirani kwa kipa au beki za kati then mabolo likolo yakawa yanazaliwa. 😂
Mkuu, mimi napita njia tu, tushashindwana siku nyiingi saana. Ni km nimekutana na x wangu kwenye harusi ya jamaa yangu. 😂Na wasiwasi una tatizo la afya ya akili, au una overthink Sana imepekekea matatizo,
Binafsi najitoa huu mjadala nakuachia endelea na makaveli10 Labda mtawezana,
Aitwe baba paroko mapema. 😂Kuna tatizo huenda jamaa limemkumba, Siku hizi kumekuwa na shida nyingi ,ndio maana hate matukio ya watu kujiua ,kuua ,yamekuwa mengi,
kutofautiana na wewe kimtazamo nimekuwa na matatizo ya afya ya akili? unaonesha ni namna gani ulivyo amateur. Im saying again You're not professional,Na wasiwasi una tatizo la afya ya akili, au una overthink Sana imepekekea matatizo,
Binafsi najitoa huu mjadala nakuachia endelea na makaveli10 Labda mtawezana,
Kuwa na tatizo la akili ,wengi tunapuuzia had serikari ,wanafumbia macho, ndio maana matatizo, ya watu kujiua ,kuua,kufanya Mambo ya ajabu , yamekuwa mengi, wewe unajiona upo sahihi .kutofautiana na wewe kimtazamo nimekuwa na matatizo ya afya ya akili? unaonesha ni namna gani ulivyo amateur. Im saying again You're not professional,
Kucheza pale sio sababu, Xhaka ni double pivot player, akicheza hapo wanakuwa wawili kwenye pivot area, sio single pivot kama partey, hawafanani role zao na ubora wa Xhaka ni build up phases lazima aende kupokea, wewe unatoka kigoma?Ndio maana mimi na wewe hatuelewani, na hatutoelewana, tuache km ilivyo mkuu, mie nazungumzia tactically we unasema namzungumzia individual.
Umesahau xhaka kacheza pale ndio alikiwa anaenda kupokea mpirani kwa kipa au beki za kati then mabolo likolo yakawa yanazaliwa.
Basi mzee umeshinda, kuanza kutumia lugha za kukashifu na matusi, ni dalili ya kuwa umefilisika kihoja.Kucheza pale sio sababu, Xhaka ni double pivot player, akicheza hapo wanakuwa wawili kwenye pivot area, sio single pivot kama partey, hawafanani role zao na ubora wa Xhaka ni build up phases lazima aende kupokea, wewe unatoka kigoma?
Duuh! These mfs know nothing about football and think they know shit. Just average losers.
Hadi hapa naamini na nyie wenzangu mmeona lugha ya huyu mwamba. Nilishashindwana nae mda sana, ukijibu unaambiwa hujui kitu "mofo", au wewe ni "amacha" huna lolote, mimi nikaona sina sababu ya kufanya argument na mtu yupo vulgar na haheshimu mawazo ya wengine mda wote.Basi mzee umeshinda, kuanza kutumia lugha za kukashifu na matusi, ni dalili ya kuwa umefilisika kihoja.
Bahati mbaya au nzuri sijawahi kukutusi ama kumtusi mtu hapa, nazungumza yangu, tukishindwana nashika njia yangu, haina haja ya kutoka povu, hatujuani, arsenal haitujui. Labda yabaki masihara ya kufurahisha baraza
Basi nyinyi mkishajua MADHAFAKA mnajikuta kifua mbele kama mmepigwa gumi la mgongo
Kwani wewe unahati milki ya huku hadi utuzuie watu wengine Ili tusije wewe ndo mchawi kiwango cha laami.Umefuata nn huku? Kama sio umbea mchawi sio lazima apae na ungo
Ni wa kumuepuka tu, hasa sisi tusiopenda mabishano..Hadi hapa naamini na nyie wenzangu mmeona lugha ya huyu mwamba. Nilishashindwana nae mda sana, ukijibu unaambiwa hujui kitu "mofo", au wewe ni "amacha" huna lolote, mimi nikaona sina sababu ya kufanya argument na mtu yupo vulgar na haheshimu mawazo ya wengine mda wote.
Mtu usiyejua hata Xhaka anacheza role gani unataka tuArgue nini? Always nikiwaste energy then nikagundua you're just a fool huwa nakudharau mno.Basi mzee umeshinda, kuanza kutumia lugha za kukashifu na matusi, ni dalili ya kuwa umefilisika kihoja.
Bahati mbaya au nzuri sijawahi kukutusi ama kumtusi mtu hapa, nazungumza yangu, tukishindwana nashika njia yangu, haina haja ya kutoka povu, hatujuani, arsenal haitujui. Labda yabaki masihara ya kufurahisha baraza
Basi nyinyi mkishajua MADHAFAKA mnajikuta kifua mbele kama mmepigwa gumi la mgongo
I dont give a a shit bro, even in real life i dont like to associate with average people.Ni wa kumuepuka tu, hasa sisi tusiopenda mabishano..
Anajua MADHAFAKA utamwambia nini, sisi woote ni mofos
Ingawa mimi ni shabiki wa Nyumbu FC ila hua nakukubali sana hamis77 kwenye chambuzi zako za soka, pia hauko bias unapoelezea au kutoa ushauri katika uchambuzi hata kama unazungumzia timu pinzani, pia kikubwa unajitahidi sana kutumia lugha ya staha, sijawahi kuona kutoka kwako mitusi ya ajabu ajabu (hapa nazungumzia matusi sio ule utani wetu wa kishabiki ambao unachangamsha jukwaa)Na wasiwasi una tatizo la afya ya akili, au una overthink Sana imepekekea matatizo,
Binafsi najitoa huu mjadala nakuachia endelea na makaveli10 Labda mtawezana,