Eti Chelsea BManure pre season alimpiga liver nne ..saiv anapumulia machine ..wewe umewafunga Chelsea B Basi unaona una timu ..ngoja kwenye ligi tutawalamba vijambio mtabaki mdomo wazi..πππ
Unasema Partey akae na mpira wa nini? Wtf? Unaelewa maana ya holding midfield? Unaelewa maana ya game Control? Unaelewa maana ya possession kwenye Possession based team? Hiyo haya ya kwanza tu inatosha siendelei tena.Unataka Partey akae na Moira was nn? Moira wakuachia ndio wenyewe Sasa wanaucheza arsenal toka preseason, tena huu utampunguzia majeruhi
Hao Liverpool ,city hizo chance wanakosa Sana usikariri,
Jana Brentford a middle team ka score chances Kama hizo,
Hatuwez kucheza mpira peke yetu, tusishambuliwe, hakuna perfection ya hivo.
Unamuona Partey Hana IQ, ila aliwapoteza rodri ,kdb na Silva pale Emirates.
Arsenal ipo kusaka Mbadala wa Partey ,kwasasa Ni Ngumu kumpata mchezaji Kama Partey au anayekaribiana
Namuona FDJ, sokon .....
Makosa yapo ,maana wale Ni binadamu, au timu gan haina makosa?
Manure pre season alimpiga liver nne ..saiv anapumulia machine ..wewe umewafunga Chelsea B Basi unaona una timu ..ngoja kwenye ligi tutawalamba vijambio mtabaki mdomo wazi..πππ
Yaah! hiyo ndio maana ya game control, Chelsea ni possession based, ndio maana intensity unaiona kwenye structure, sasa tukiongea humu watu "Arsenal this, Arsenal that"guys mnaona pressing ya chelsea?
any way kama chelsea asiposwitch kutumia longballs na couter sioni akishinda hii game,kante na joghi wanafanya kaz ya maana.pia lofteen cheeek na cucurella wanafanya kaz yao vizuri.Yaah! hiyo ndio maana ya game control, Chelsea ni possession based, ndio maana intensity unaiona kwenye structure, sasa tukiongea humu watu "Arsenal this, Arsenal that"
Mtu anakwambia sio lazima kuwin possession, wakati principles za uchezaji wetu zimerely thru possession, WTF!
Ulimuona alipocheza na Everton ? Au akicheza na arsenal anafanyaga wapi hiyo pressing?guys mnaona pressing ya chelsea?
Mkuu una over think sana mpaka unakuwa km vile kwenye meditation. Huwezi kuwa perfect kwa kila kitu ila kuna kitu kimoja kikubwa ambacho kinakufanya uonekane mahili katika position yako. Magalhaes & Partey ni mahili katika nafasi zao kwa uchezaji wao ndio maana wanaonekana wazuri ukilinganisha na wengineNo, Partey & Magalhaes wote wana shida zinazoicost Arsenal kucontrol games.
Ukiangalia kwenye All or Nothing, Arteta anajaribu sana kusisitiza kuhusu players perfection, anaongea kuhusu negativity cuz we want to be the best team in the world. Arsenal tunashinda ila makosa unayaona, kumbuka Fofana chance, ingekuwa liver / city/ spurs unaadhibiwa in 5 mnts.
Kwenye possession based team, control inategemea mambo mawili, technique ukiwa na mpira & Pressing (without the ball).
Partey ni holding mid ndio yupo central, control nzima inaanzia kwake sio kwa Γ / xhaka hawa wanakuwa juu as #8s. Arsenal inaongoza 2-0 vs Leicester, Partey muda wote anacheza vertical kwanini? 2-0 up Partey hataki kuhold mpira ht kwa sekunde mbili anaachia, kwanini? Sio kwamba hana technique ila he lacks IQ, the mental side of the game. Ukumbuke Partey kakuzwa na Diego Simeon thats why game yake ni aggressive mno, na without the ball anakuwa passive.
Control inahitaji perfection, without perfection you can't control games, control is the key of the game, ni kama maji, ni kama oxygen kwenye maisha ya mtu, haya mambo naona labda hatuelewani tu.Mkuu una over think sana mpaka unakuwa km vile kwenye meditation. Huwezi kuwa perfect kwa kila kitu ila kuna kitu kimoja kikubwa ambacho kinakufanya uonekane mahili katika position yako. Magalhaes & Partey ni mahili katika nafasi zao kwa uchezaji wao ndio maana wanaonekana wazuri ukilinganisha na wengine
Sikupingi ila Mambo mengi unayoongea yanatafakarisha aiseeControl inahitaji perfection, without perfection you can't control games, control is the key of the game, ni kama maji, ni kama oxygen kwenye maisha ya mtu, haya mambo naona labda hatuelewani tu.
Unachosema ww ni sawa na timu ya Diego simeon inayocontrol game thru counter attack & defending deep kutokuwa compact kwenye blocks zake afu wewe ukasema" oooh bro its ok kutokuwa Compact within blocks, ili mradi tunacheza mpira" WTF!
Nachozungumza sio kwamba natunga ni kitu ambacho hata Mikel anazungumza kila siku, fuatilia mamb
Chelsea akikutana na Arsenal ,tunamkabiaga juumoja kati ya team ambazo huwa siziwazii ni spurs
Spurs anacheza kama nyumbu B
Huu mpira anaocheza Chelsea, akija kwa arsenal inabid abadilike
Saliba white Gabriel hawacheki na kima pale nyuma ata kidogo
Beki za Chelsea zinavyokatika na kupanda sana mbele, tutakuja kuwafanya vibaya sana
Mido ata akiwa xhaka huwa tunawakamata vizuri mno Chelsea
Sipati picha hili kombo la sasa hiv, ani partey xhaka, zinchenko, odegard
Alafu kingine Chelsea ni kama demu wetu huwa tunajipigia ata timu yetu ikiwa tia maji tia maji
Will Jr
Trust the process kweli jana kuna makosa mengi yamejionesha.
Hope arteta atayafanyia kazi
Ok sawa nakubaliana na wewe kwamba ili kudhibiti mchezo kunahitaji usahihi, lkn je namna ya kudhibiti mchezo inafanana kwa michezo yote au inategemea na mpinzani wako na mpango wa mchezo??Control inahitaji perfection, without perfection you can't control games, control is the key of the game, ni kama maji, ni kama oxygen kwenye maisha ya mtu, haya mambo naona labda hatuelewani tu.
Unachosema ww ni sawa na timu ya Diego simeon inayocontrol game thru counter attack & defending deep kutokuwa compact kwenye blocks zake afu wewe ukasema" oooh bro its ok kutokuwa Compact within blocks, ili mradi tunacheza mpira" WTF!
Nachozungumza sio kwamba natunga ni kitu ambacho hata Mikel anazungumza kila siku, fuatilia mambo.
Mkuu DM unataka a-hold mpira wa nini? 8 & 10 watafanya kazi gani? A-hold akiwa eneo gani??Unasema Partey akae na mpira wa nini? Wtf? Unaelewa maana ya holding midfield? Unaelewa maana ya game Control? Unaelewa maana ya possession kwenye Possession based team? Hiyo haya ya kwanza tu inatosha siendelei tena.
Nasubiri ifike zamu yako halafu uje uongee hizi pumba zako hawa Spurs si ndo kakuzuia ww kuingia top 4 hawa Spurs si ndio alimpiga Man city kwake na kudroo na Liverpool pale anfieldKuna wehu wanaamini Spurs Ni title contender,
Anazidiwa vile na Chelsea , Everton alibishana na chelsea mwanzo mwisho
Spurs Ni mviziaji TU
People say Conte likes to control the game off the ball but his team end up conceding chances after chances after chances. That's not control. That's called riding your luck.
True control without the ball limits the opposition capacity to create meaningful scoring opportunities.