hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,282
- 26,657
Spurs Hana hizzo mbio, Spurs kaanza na timu dhaifu,, Safari hii soton anashuka darajaSpurs ana balaa msimu huu, wanaweza wakatu surprise kwa kubeba ndoo, wana timu iliyo kamilika kila idara na kocha mwenye mbinu,
Msimu huu wa moto sana![]()
Subiri mech 5 Kwanza uone Spurs ana huo ubavu , mpira wake Ni wakuvizia Sana, sio timu ya kutawala game ,
Wanakutana na Chelsea ambaye anacheza Sana ila hafungi,
Hiyo game Chelsea ana asilimia kubwa akatawa mchezo akapigwa ,sababu Spurs Ni mviziaji tu.
Mm naomba droo au Spurs achezee kipigo , Chelsea bila forward pumzi itakata mapema sana

|| In the next few hours, Arsenal will reportedly formally offer €40m (£34m) for Yéremy Pino [Via - @TDFichajes].