Husitutishe tuna Captain Maguire.Chelsea bhana walikuja juz humu na makelele ,Jana wamejionea Wana timu dhaifu
Nilisema Kama wataendelea na ile striking Force ya bila CF ,watakuja kutafuta mchawi
GOLI la penalty , matokeo yao itakuwa nyau nyau ,au moja bila au kipigo,muda wote wanarukaruka , iwobi kacheza vzr sana Jana
Leo ngoja tuwaone Nyumbu wanakujaje,washukuru wanaikuta Brighton iliyobomolewa ,ila sitashangaa droo ikitokea
Acha uongo mzee mbona unajiabisha kijana ....Southmpton wasipojiangalia watashuka daraja
Unamuachia kipa Foster mzoefu ,unaenda kununua kipa kutoka academy ya mancity kwa £10m aje awe kipa namba 1 kwa EPL ,kipa ambaye hajawahi hata kucheza championship au mechi yoyote mancity awe no.1
Foster aliwaokoa sana msimu ulioisha ,moja ya game ni Dhidi ya arsenal alikuwa MOT
Sijashangaa kupigwa goli 4,na Spurs nilitarajia zaidi ya hizo
Kauzwa mwaka huu mzeeAcha uongo mzee mbona unajiabisha kijana ....
Yule kipa wa saton bazunu katoka man city kitambo sana toka 2019 huko na alikwenda kucheza championship na portsmouth katolewa kwa mkopo kutoka Portsmouth ya hapo hapo england kuja saton na Wala hajanunuliwa kwa hio pesa ...!
Futa hizo pumba ulizoandika
Kauzwa mwaka huu mzee
Hapo nimekuelewaHuyu kauzwa ndio Tena na city ,lakin sio kusema katoka academy moja kwa moja Kwan ,alishatoka academy muda sana kwa mkopo na kucheza timu zaidi ya mbili kwa mkopo ,huko alipata uzoefu mkubwa sana ...hio championship kakiwasha sana ...!
Kumbe wewe hata mancity yako huijuiAcha uongo mzee mbona unajiabisha kijana ....
Yule kipa wa saton bazunu katoka man city kitambo sana toka 2019 huko na alikwenda kucheza championship na portsmouth katolewa kwa mkopo kutoka Portsmouth ya hapo hapo england kuja saton na Wala hajanunuliwa kwa hio pesa ...!
Futa hizo pumba ulizoandika
Nimemuangalia leo. Lisandro Martinez hafai kucheza CB kwa EPL. Nafasi ya LB au DM ingemfaa sana.Tulipo mtaka Martinez, nyumbu wakaona sisi tutafaidi sana
Sasa ipo hivi, sisi tulimtaka Martinez kama backup ya Tierney
Wao wamemuona kama ndio first eleven yao
Angekuja arsenal angepiga leftback au taratibu taratibu defensive
Lakini bado angekua sub kwanza
Nyumbu wao wamemuona kama central back
Yan kazi anayoifanya saliba, wanampa yeye. Daaah!!!
Binafsi namuona Ten hang kama ni tatizo katika msitu wa matatizo
kwa ushauri wako nini kifanyike,mimi naona kuna muda watu wanafata rythm ya mchezo badala ya pattern ya mchezo kulingana na philosophy ya timu.pengine labda inakuwa ni game plan ya mwalimuTatizo letu kubwa hatuwezi kucontrol games, Arsenal ni possession based side ila tupo aggressive tukiwa na mpira, tupo passive bila mpira, Timu kama Man city under Pep Guardiola wapo patient mno, hawachezi direct football wala aggressive patimu, inawapa control ya mchezo utaona wanawin possession kwenye kila mechi, mpira tuliocheza dakika 20 za kwanza dhidi ya Palace ndio tunatakiwa tucheze kwa dakika 90 kwenye kila mechi.
Umesema hajawahi kucheza hata championship...! Unasema Hana uzoefu ...Kumbe wewe hata mancity yako huijui
Nimekwambia alitoka academy, sio moja kwa moja , alikuwa daraja la 2, leo unamleta EPL unategemea nn?
Unanibishia nini? Tena kanunuliwa kubwa kuliko hata niliyotaja ,Ni £12mView attachment 2317163
Arteta anaelewa umuhimu na anataka timu kucontrol mchezo so hatuwezi kusema ni game plan yake, tunahitaji kuwa na mpira muda wote, tucheze kama dk 20 za kwanza dhidi ya palace. Kinachotokea ni immaturity, nadhani second half of the season kama confidence itajengeka tutaiona Arsenal ikicheza kwa dakika zote 90 kama ilivyocheza dhidi ya palace dakika 20 za kipindi cha kwanza. Tukiwaga Emirates tunajitahidi sana kucontrol games sababu the crowd is behind us sio kama mechi za ugenini tunakuwa Passive mno.kwa ushauri wako nini kifanyike,mimi naona kuna muda watu wanafata rythm ya mchezo badala ya pattern ya mchezo kulingana na philosophy ya timu.pengine labda inakuwa ni game plan ya mwalimu
Hajawahi kucheza championship huyo ,Hivi wewe hata wachezaji wake mancity kumbe huwajui?Umesema hajawahi kucheza hata championship...! Unasema Hana uzoefu ...
Mimi nikakuhakikishia kuwa katoka city muda sana na kacheza championship misimu Kama mitatu sio unakuja kusema saton wamenunua mchezaji ambaye Hana uzoefu ....Kwan saton wao ni wajinga ....walimuona alipokuwa championship ndio maana wakamnunua ...yaaah ni kwa £12 million
Wewe unaizidi management ya saton ,? Bazunu kucheza portsmouth kaimprove pakubwa mno ....Hajawahi kucheza championship huyo ,Hivi wewe hata wachezaji wake mancity kumbe huwajui?
kacheza Ligi daraja la pili timu zote alizopita , nitajie kapita timu gan ya championship ?
Soton wamepigwa , unaenda kumnunua kipa kutoka madaraja ya chini Kabisa kwa £12m halafu anakuja moja kwa moja EPL ,utani Kabisa huu
Hivi unajua Forster kawaokoa soton mech ngap anatoka MOT?
BAZUNU hatoshi kuisaidia soton isiepuke VIPIGO vya mbwa , View attachment 2317411
Hiyo timu ipo ligi daraja la ngapi?Wewe unaizidi management ya saton ,? Bazunu kucheza portsmouth kaimprove pakubwa mno ....