Xhaka anayellow card na hachezagi kwa tahadhari ni rahisi kupewa second yellow,inabidi arteta amtoe second half amuingize Tierney aende left kule halafu Zinchenko amreplace xhaka

walai mtagongeshwa sana hamna timu hapo yaani kwa jinsi navyoifuatilia hii game mmezidiwa sana na palace sema hawako makini katika Ku score tu mngekuwa mshakula hata 3 .