Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Top four yangu

1. Liverpoool
2. Chelsea
3. Man City
4. Spurs

5 & 6 wanaweza kugombaniana kati ya Arsenal, Newcastle na West Ham
Tunaweka risiti ,yaan unaiamin hii Chelsea ambayo kosakosa Kama zote? Hi Chelsea inayosajiri mabeki na kulanguliwa sokon

Unauziwa Cocurella mwenye assist 1 na goli 1 ,sawa na Nuno TAVARES kwa package ya Β£62m?

Hivi mnadhan pep mjinga kugoma kutoa Β£40m+ ?
 
Sijui kwanini arsenyeto uwaga naona timu ya kawaida sana yani.

Prediction

Crystal palace 2 arsenal 0
Jidanganye ,Arteta kasema tunaanza kwakukaa top of the table ,

Hatutoki Tena

Hapa Hadi tukutane na Liverpool ndio tumfikirie
 

Attachments

  • IMG-20220804-WA0019.jpg
    63.6 KB · Views: 14
KILA LA KHERI TIMU YETU ARSENAL DHIDI YA PALACE

Mechi ya mwisho tulifungwa 3-0

Patrick Vieira aliwatarget Full backs zetu, NUNO NA CEDRIC ,aliwapress Sana akimtumia Zaha na Ayew , akabaki Partey akaumizwa, mech ikawa yao .

Na sote Tunajua ukiwapress Nuno na Cedric Ni majanga hutokea,

Leo hakutakuwa na Nuno Wala Cedric

Leo tutarudi na kikos kile alichopigwa 6-0 Sevilla ,4 -0 CHELSEA

Saliba ,Ben White na Zinny wapo njema Sana na mpira mguuni ,

NATARAJIA MABADILIKO MAKUBWA KIUCHEZAJI, LAKINI PIA TUWE MAKINI NA KAUNTA ,MAANA WATAWATUMIA ZAHA NA EBOWEI AU ZAHA NA EZE

Leo watamkosa Olise ,pia hawatakuwa na Gallagher ambaye amerudi Chelsea.
 
Ile ilikuwa ni preseason mlidhani ligi yenyewe haitafikaaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ leo mkifa chache ni 2
 
Wewe kina nketiah tu walikulamba 4-2

Kina Jesus ilikuwa ule 8,

Yaan chelsea hii ya panic buy ,Isiyo na CF wakueleweka bado unaiamin?
Matokeo ya pre season bado yanakulevya huoni kitu mbele. Ngoja Vieira akutekenye leo ndio utajua yaliyomo yamo au hayamo
 
Kwa hiyo waliotoa hiyo pesa ni wajinga? Mbona huyo huyo Pep aliuziwa Grealish kwa paundi million 100! Hakuna unachojua kuhusu hizi biashara na kila usajili ni kamari. Ukilielewa hilo wala hautaumiza kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…