Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bora wangemshawishi asaini kisha wamtoe kwa mkopo
yes. Hiyo ingependeza zaidi ila nadhani kuna tusiyoyajua yaliyosababisha hatimae uamuzi ukawa hivyo. Tumtakie tu kila la heri. Simuoni akiwa na maajabu. Amenyanyasa vitoto kama tu kina balogun na nketiah walivyokuwa wakifanya ila ligi kuu si lelemama. Huku kutoboa unahitaji ukakamavu na uthubutu wa ziada pamoja na kuaminika na kocha. Na kwa timu kubwa kocha hana subira sana. Ndio maana kina foden na martinelli ni wachache top teams.
 
Arsenyeto... Soon mnarudi kwenye default mode yenyu... Ni suala la muda.
 
Arteta juu ya majeraha ya Tierney na Tomiyasu:

"Sababu ya kuwa na majeraha hayo ni kwa sababu tofauti na pengine kwa sababu kikosi(ufinyu) haukuwapa muda wa kupona. Ninachoweza kukuambia ni kwamba wachezaji hao wawili wako tayari kuchangia timu."

Jambo jema sasa tuna Zinchenko na Saliba (White RB), hivo hawahitaji kuharakishwa tena.
 
Arteta kuhusu uhamisho(usajiri)

"Tuko kama unavyoona kwa wanao ingia na wanaotoka. Kila kitu bado kiko wazi. Ni dirisha refu. Inashangaza ni kiasi gani cha biashara ambacho vilabu vimefanya kwenye PL na inaonyesha jinsi ushindani utakavyokuwa. kwa msimu huu."

MWANDISHI Vipi Kuhusu MAJERUHI

Arteta anasema anatumai watatu kati ya Tierney, Tomiyasu, Smith Rowe na Vieira watafanya mazoezi mchana huu. Na wanaweza kucheza dhidi ya Palace.

MWANDISHI ESR ndio unamaanisha ambaye anaweza kukosa.?


"Swali zuri, utajua kesho."
 
Arteta juu ya majeraha ya Tierney na Tomiyasu:

"Sababu ya kuwa na majeraha hayo ni kwa sababu tofauti na pengine kwa sababu kikosi(ufinyu) haukuwapa muda wa kupona. Ninachoweza kukuambia ni kwamba wachezaji hao wawili wako tayari kuchangia timu."

Jambo jema sasa tuna Zinchenko na Saliba (White RB), hivo hawahitaji kuharakishwa tena.
 
🚨🚨| Despite Chelsea's interest, Aubameyang does not consider joining them & wants to stay at FC Barcelona.
@RogerTorello [🎖️]
 
Arteta: “The role Gabi (Jesus) has here is VERY DIFFERENT from his previous club.”
 
Lucas Torreira ni tatizo kubwa kwa #Arsenal. Mnamo 2020, alikataa kuuzwa moja kwa moja nchini Italia ili kulazimisha mkopo Atletico.

Sasa hivi tena anajichelewesha kwenda Galatasaray kwa sababu anataka mkopo wa bila malipo kwenda Valencia.

Arsenal imeshamalizana na Galatasaray kupokea €7m, Arsenal wamemwambia Safari tunataka uondoke moja kwa moja.Toka Jana ana delay deal la Galatasaray akiwasubiri Valencia ambao wanasubiri kitonga Cha mkopo.

Hadi Sasa Valencia Wapo kimya, hivo Toreira anakaribia kujiunga Galatasaray.


📣 || Direct message to Journalists from Lucas Torreira’s Manager today, explaining the current situation.
 

Attachments

  • IMG_20220804_185345.jpg
    32.8 KB · Views: 19
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…