MkoreaSipendi kuoga
Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.www.jamiiforums.com
Arsenal mandonga tu pre season 😂😂😂😂Sipendi kuoga
Jamani mnisaidie au utakuwa ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipendi ni kuoga sijui kwanini yaani ninaweza pita siku 2 mpaka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka.www.jamiiforums.com
Mbona wanaenda kwa bei rahisi hivi?Leno-gone
Torreira - gone
Balogun - gone
Tavares-gone
Bado Bellerin, AMN,Pepe na
Pablo mari (yupo kwenye mazungumzo na timu ya italy)
Ulimsikiliza edu alivyoongea juzi?Mbona wanaenda kwa bei rahisi hivi?