Nahodha mdogo na shoga. Chama linaongozwa na Shoga.ODEGAARD NAHODHA MDOGO DUNIANI
Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kuwa nahodha wao wa timu kuanzia sasa ni kiungo wao mshambuliaji Martin Odegaard.
Maamuzi hayo yamefanywa na kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta na yamepokewa vizuri na bodi ya wakurugenzi wa timu pamoja na Wachezaji.
Martin Odegaard amekua na mchango mkubwa sana ndani ya klabu ya Arsenal tangu alipojiunga nayo Arsenal kwa mara ya kwanza kwa mkopo January 2021 akitokea Real Madrid kabla ya kununuliwa rasmi na Arsenal.
Martin Odegaard pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Norway.
Odegaard akiwa na umri wa miaka 23 anakua nahodha mwenye umri mdogo
Zaidi duniani kwa sasa kuwa nahodha kwenye timu ya taifa na klabu duniani
Sio kuuweza tu bali mtatupiga goli 8 kabisa ili kusawazisha record.Wewe acha kuzurura kwenye majukwaa ya watu wakati forward line yako Ni Martial na Rashford
Beki magwaya
Watauweza huu mziki?
Nikweli nyumbu hamna KochaSio kuuweza tu bali mtatupiga goli 8 kabisa ili kusawazisha record.
Kikubwa endeleeni kufurahia timu inawachezaji wazuri ila msijisahaulishe kua timu haina kocha.
Aendelee kupambana tupo nyuma yake.Tunayo furaha kutangaza kwamba Martin Odegaard ameteuliwa kuwa nahodha wetu mpya wa kikosi cha kwanza cha wanaume.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amefanya makubwa tangu awasili Uwanja wa Emirates akitokea Real Madrid Januari 2021, awali kwa mkopo, na amecheza mara 60 na kufunga mabao tisa.
Odegaard ana uzoefu wa kuvaa kitambaa hicho, akiwa nahodha wa Norway tangu Machi 2021, ambaye ameshinda mechi 43 kwake.
Tunamtakia Martin mafanikio mema kama nahodha wetu.
Tutakuwa na zaidi juu ya uteuzi hapa baada ya mechi ya leo.
Nyie arsenyeto timu yenye laana
Nyie arsenyeto timu yenye laana