Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🗣 “We are still hoping to do something else if the [transfer] market allows us to do that.”

Mikel Arteta on the transfer market.💰
 
ODEGAARD NAHODHA MDOGO DUNIANI

Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kuwa nahodha wao wa timu kuanzia sasa ni kiungo wao mshambuliaji Martin Odegaard.

Maamuzi hayo yamefanywa na kocha mkuu wa Arsenal Mikel Arteta na yamepokewa vizuri na bodi ya wakurugenzi wa timu pamoja na Wachezaji.

Martin Odegaard amekua na mchango mkubwa sana ndani ya klabu ya Arsenal tangu alipojiunga nayo Arsenal kwa mara ya kwanza kwa mkopo January 2021 akitokea Real Madrid kabla ya kununuliwa rasmi na Arsenal.

Martin Odegaard pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Norway.

Odegaard akiwa na umri wa miaka 23 anakua nahodha mwenye umri mdogo
Zaidi duniani kwa sasa kuwa nahodha kwenye timu ya taifa na klabu duniani
 

Attachments

  • IMG_20220730_152350.jpg
    104.4 KB · Views: 18
h
ha haaaaaaa mandonga tena
 
ARSENAL inaposhambulia inatumia 2-3-5 au muda Mwingine 3-2-5

Dhidi ya Sevilla ,nyuma wanabaki WHITE GABRIEL MAGALHAES NA SALIBA

ZINNY ANAPANDA NA KUWA KIUNGO AKIUNGANA NA PARTEY NA XHAKA

SAKA hutanua uwanja na kuruhusu Odegaard kuwa namba 10, pamoja na Martinell kuwa no.10 ya pili,pale ZINNY anapopanda na kuwa Winga ,Gabriel Jesus anakuwepo Kati ,lakin wanabadilishana Sana nafasi na Gabriel Martinell

ZINNY ametuongezea kitu kipya , kwakuwa anauwezo wa kucheza Kama Midfielder basi anaongeza uimara Katikati , hapa Tierney sio mzuri eneo la kiungo ,

Hivo basi mwalimu amepata option zaidi anapotaka kumtumia Zinny au Tierney.

Uwepo Wa SALIBA ,GAB NA WHITE unafanya tuwe wazuri kwenye buildup Sababu wote Ni wazuri mguuni , ukiongezea na Zinny na Partey ,hapa NDIPO unapoona nafasi finyu kwa mtu Kama Hector bellerin na Toreira

Tomiyasu huyu pia Ni mzuri Sana kwenye buildup ,hivo kwasasa mwalimu ana option nzuri upande wa kulia na kushoto , na beki za Kati ambapo White anaweza kurudi Kati Kati .

Eneo ambalo bado tunahitaji mtu Ni RW , lakin kwa uchezaji wetu niliouona , Ile namba 8 ya Xhaka tukipata mtu Mwingine pia mwenye jicho la pass na kunyumbulika basi timu yetu itakuwa imeenda NEXT LEVEL ,

Gabriel Jesus huyu anajua kutumia nafasi lakin uwezo wake mkubwa wa kucheza pembeni kulia na kushoto unawapa tabu Sana mabeki pinzani, Sababu wanashindwa kumtarget .

Goli la 2 Dhidi ya Sevilla katokea pemben upande wa kushoto , akatoa pass akawahi ndan ya box akafunga.

Pep Guardiola juzi amemuelezea G.jesus Kama Ni moja ya striker anayepress na kudefend(kuzuia) aliyewahi kumpata

Arsenal Sasa uwezo wa kupress umekuwa mkubwa Sana Sababu ya G.jesus pale mbele.
 

Attachments

  • IMG_20220731_093729_907.jpg
    96 KB · Views: 18
  • IMG_20220731_090419_934.jpg
    47.2 KB · Views: 20
Preseason ndio wakati wenu wa kutamba. Tumeshawazoea kila msimu, kuna Ars88 ilikua y moto km ile y kina ozil na sanchaz bado mkaishia matupu,ndio uniambie ya sahz tena kocha mweupe kichwani ....... Arsenal ni ile ile.
 
Jurgen Klopp on competition in PL: "Arsenal, I saw the result, pretty impressive – 6-0 against Sevilla. I don’t think that ever happened to Sevilla to be honest." [metro via ITV]
 
Preseason ndio wakati wenu wa kutamba. Tumeshawazoea kila msimu, kuna Ars88 ilikua y moto km ile y kina ozil na sanchaz bado mkaishia matupu,ndio uniambie ya sahz tena kocha mweupe kichwani ....... Arsenal ni ile ile.
 

Attachments

  • IMG_20220724_045903.jpg
    108.3 KB · Views: 20
An Arsenal XI will face St. Alban's City tomorrow at Clarence Park, 7:45 PM UK time. Whilst it's mainly likely to be Arsenal youth team players, interested to see if the team will feature some of our squad options/players coming back from injury who need match practice.
 
Kiungo mpya inawezekana akasajiliwa. Edu ni shabiki wa Paqueta, lakini bado hajawasilisha ofa.Tielemans yuko kwenye orodha pia lakini vilabu bado havijazungumza.

Arsenal itafuatilia nafasi ya winga ikiwa ni winga sahihi na kwa bei sahihi

(@FabrizioRomano)🔴⚪️
 
Jurgen Klopp kuhusu ushindani katika PL:

"Arsenal, niliona matokeo, ya kuvutia sana 6-0 dhidi ya Sevilla.

Sidhani kama hilo liliwahi kutokea kwa Sevilla kusema ukweli." [metro kupitia ITV]
 

Attachments

  • FB_IMG_1659276827525.jpg
    51.6 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…