Hivi msala wa partey ushaisha?Ndio maana nilipata kusema inabidi tuwe na defensive midfielder mgumu pale kati ili tuuone ubora wa hali ya juu wa hawa
Odegard, Rowe, martinel, saka, jesus
Kwa sasa tunae partey, sina wasiwasi na kazi yake pale kati
Shida ni majerui tu
Coz tukiwa na kiungo mkabaji mzuri, hao madogo hawatashuka sana chini, muda mwingi watakua kulekule mbele
Na hapo ndio utaona mtu anakufa 4 alafu bado anatafutwa
Kama unakumbuka kipindi partey alivyoumia, tukajikuta timu nzima imekua defensive,
fluidity ya kushambulia inakua ngumu sana, coz hadi tufike golin kwa wapinzani. Tunajikuta tumechelewa, watu wameshajipanga kitambo tu
Crystal palace yule mshenzi ijumaa ndio tunaanza nae kumalizana zile hasira za msimu uliopita.
Moja kati ya timu zilizofanya tuwe huku Europe
Mkuu mimi nimekuelewa sanaarteta ndiye alisababisha tuwe europa wala si crystal palace. Anyway, tuachane na hayo. Huu ni msimu mpya hawa washamba lazima tuwakandamize.
dah siku hiz jf ina watu wa ajabu saanaAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowo wakisema chukua yote yako.
Mkuu wengine tupo mbali tupe updateWanangu Jesus ni forward sio Lacazette.
Mkuu game unacheki au naww unacheki matokeo tu kwenye App?Wanangu Jesus ni forward sio Lacazette.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]oyaaa natamani kujua sura yako halisi ,haya unayoandika yawezekana upo milembe au chizi unaokota makopo sio bureAser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji, huku wanatingisha wowowo wakisema chukua yote yako.
Kapiga 2 kabla ya HT.Mkuu wengine tupo mbali tupe update
Unapigwa mwingi sana mkuu, we're doing fine.Mkuu wengine tupo mbali tupe update
Vijana Wana average ya umri miaka 24 unasema wanajichosha?Hii arsenal wanajichosha tu ,mna uhakika kwenye league mtawasha moto huu [emoji23][emoji23][emoji23]