Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ingawa wapo UEFA lakini wanapata wakati mgumu sana kwenye sajili
Hapa namzungumzia chelshit

Dakika za mwisho walitaka kupita na Jesus lakin walishindwa

Barca bado anampiga za uso, tena barca anachukua kwa dau nafuu kuliko analoweka yeye

Chelshit n spurs iliyochangamka

London is red
Wanachezea za uso, Chelsea haji kuwasahau barca
 
Attachments

  • IMG_20220724_045903.jpg
    IMG_20220724_045903.jpg
    108.3 KB · Views: 24
Pre season ndio muda wenu wa kutamba.
Mnapigwa nje ndani ,Barca mbingu wataisikia tu😂😂

🚨🚨| Cesar Azpilicueta (Chelsea's captain) wants to join FC Barcelona.
@FabrizioRomano [🎖️]
 
Mnapigwa nje ndani ,Barca mbingu wataisikia tu

| Cesar Azpilicueta (Chelsea's captain) wants to join FC Barcelona.
@FabrizioRomano []
Una moto sana kipindi hichi cha pre season wenzio waliokuwepo humu wanakuchora tu
 
Central defence naona kwa kuja kwa Salib tuko poa. Left na right back naona tuwe na backup anayefaa pande zote. Hii ni kwa sababu tunaweza kuwakosa tomiyasu na tierney. Zinchenko na cedric naona hawatoshi maana xhaka kama kawa lazima atakula red na suspension na tutahitaji zinchenko katikat
 
Arteta amesema Usajiri bado

Kuna nafasi 2 zitazibwa CM na RW

Nafas ya RB kwasasa hawana uharaka ,watawatumia Ben White na Cedric

Cedric amecheza mech nyingi vzr

RB had January ndio Wataanza kutafuta Mbadala ,pia Kuna dogo kutoka academy alikuwa mkopo yupo vzr
 
yea. Nimemtaja cedric kwa maana yeye ndiye ana uwezo wa kucheza rb na lb so tuwe na mwingine kama yeye ili tukiwakosa tomi, tierney na xhaka, basi zinah acheze kwa xhaka. Nisingependa white au saliba watumike kama rb haswa na huu mpngo wa subs 5. Kama white namuona ana u david luiz katika kuanzisha mashambulizi na lofted/through balls, nisingependa awe wasted pembeni huku timu zikiwa zinauwezo wa kufanya subs kibao tunapowazidi kimbinu. Bora kupata proper fullbacks tu.
 
ben white kacheza sana RB alipokuwa brighton na yuko vizuri sana, juzi game ya Chelsea pia kacheza nafasi hiyo kabla ya kuingia cedric
 
Nuno Tavares deal, update. Atalanta reached in the last days an agreement in principle on the player side, but agreement with Arsenal has not been reached. 🔴⚪️ #AFC

Atalanta want to include buy option, Arsenal don't - deal now stalled.
 
(🌕) Martin Ødegaard is Arsenal's captain. It's a matter of time till Arsenal will announce that. (@gunnerblog) https://t.co/xhGrVNxBZa
 
Attachments

  • IMG_20220726_185315.jpg
    IMG_20220726_185315.jpg
    45.4 KB · Views: 24
Arsenal bado wanavutiwa na Tielemans lakini kutokana na kiasi cha pesa walichotumia, wanahitaji wachezaji kuondoka kabla ya kumnunua. 🚩

(@HLN_BE)
 
.@FabrizioRomano on his ‘Here We Go’ Podcast #Tielemans

“Arsenal are still in contact with the player’s side, but there still no official bid."
 
Back
Top Bottom