Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal and Manchester City have completed contracts for Oleksandr Zinchenko deal, set to be announced as player left City training camp yesterday in order to join AFC. He's gonna sign until June 2026. ⚪️🔴🇺🇦 #AFC

Medical tests, contract signature and the official statement. https://t.co/GlTdcp4dWE
naona city ndiyo timu ya kufanya nao biashara. Tuwacheki pia kuhusu mahrez kumpa competition saka. Labda pia na ball-playing keeper wao na kdb watuuzie pia.
 
Mahrez kaongeza mkataba mpaka 2025 ,..

Kdb ni legend ,ni mtu pekee aliyebaki kwenye kikosi Cha Manuel Pellegrin Cha 2015 ,baada ya kutoka sterling na frenandihno...

Arsenal inaenda kuwa man city B ...
 
Mikel anaweza kutumia 4-3-3 na 2-3-5/3-2-5 in possession 🧵

Ujio wa Zinchenko unairuhusu Arsenal kutumia inverted full backs wawili ambao ni Tomiyasu na Zinchenko. Ambapo katika 3-2-5 Tomiyasu anaungana na Gab pamoja na Ben huku Zinchenko aki invert na Thomas katika kuunda double pivot na Zinchenko huku Adv 8's wakiwa katika half spaces

Katika final third Arsenal wanatumia mfumo mmoja sawa na Barca, Man City ambapo Saka,Mahrez,OD wote wanatumika kama isolation wingers katika kutafuta 1v1 na katika left wing Arsenal hutumia combinations kutengeneza triangle namna Ile Ile City na Barca wanatumia katika vilabu vyao

Mpira umebadilika na hivyo majukumu ya wachezaji. Winga sio kupiga krosi/kulisha kama zamani wanapaswa kufunga na kutengeneza. Mimi binafsi naona katika structure mpya ambayo Mikel atatumia, anaweza kuwatumia viungo ku attack spaces kama City wanafanya kwa wings/8 ktk final third

Nafikiri anahitajika attacker mwingine lakini sio pure ST pengine labda RW pamoja na RB kwa sababu ya ku manage dakika za Saka kumuepusha majeraha pamoja na ku deal na majeraha ya mara kwa mara ya Tomi na sio lazima dirisha hili hata January na uzuri wa Jesus anacheza RW, LW, ST

Na hata kama Jesus akipata majeraha ya muda mrefu Arsenal wanaye Martinelli ambaye anaweza kuziba pengo kwa kipindi fulani, na Mikel anaweza kubadilisha mfumo kuendana na wachezaji waliopo. Ku adapt katika nyakati ngumu ndicho kinachokufanya kuwa elite

Blueprint is there, quality players are there, the process is over, the club needs results, Mikel Arteta is growing into a tremendous manager and he has a bright future ahead.
 
Attachments

  • IMG_20220719_202506.jpg
    IMG_20220719_202506.jpg
    60 KB · Views: 23
  • IMG_20220719_202700.jpg
    IMG_20220719_202700.jpg
    116.7 KB · Views: 15
Pep Guardiola

“It was nice yesterday with Alex [Oleksandr] to say goodbye properly.

Unfortunately with Raheem and Gabriel, we could not do it because it was the summertime but yesterday at dinner together we could say bye to him as he moves on to Arsenal.” https://t.co/byJpIHMhvp
 
Attachments

  • IMG_20220720_121610.jpg
    IMG_20220720_121610.jpg
    28 KB · Views: 15
Nyie mbuzi naona mmeshaanza kunenepa, ngoja ligi ianze.
 
🚨 || Nuno Tavares now unsure about a move to Marseille, prompting the club to look into other options [Via - @LEquipe].
 
Mikel anaweza kutumia 4-3-3 na 2-3-5/3-2-5 in possession

Ujio wa Zinchenko unairuhusu Arsenal kutumia inverted full backs wawili ambao ni Tomiyasu na Zinchenko. Ambapo katika 3-2-5 Tomiyasu anaungana na Gab pamoja na Ben huku Zinchenko aki invert na Thomas katika kuunda double pivot na Zinchenko huku Adv 8's wakiwa katika half spaces

Katika final third Arsenal wanatumia mfumo mmoja sawa na Barca, Man City ambapo Saka,Mahrez,OD wote wanatumika kama isolation wingers katika kutafuta 1v1 na katika left wing Arsenal hutumia combinations kutengeneza triangle namna Ile Ile City na Barca wanatumia katika vilabu vyao

Mpira umebadilika na hivyo majukumu ya wachezaji. Winga sio kupiga krosi/kulisha kama zamani wanapaswa kufunga na kutengeneza. Mimi binafsi naona katika structure mpya ambayo Mikel atatumia, anaweza kuwatumia viungo ku attack spaces kama City wanafanya kwa wings/8 ktk final third

Nafikiri anahitajika attacker mwingine lakini sio pure ST pengine labda RW pamoja na RB kwa sababu ya ku manage dakika za Saka kumuepusha majeraha pamoja na ku deal na majeraha ya mara kwa mara ya Tomi na sio lazima dirisha hili hata January na uzuri wa Jesus anacheza RW, LW, ST

Na hata kama Jesus akipata majeraha ya muda mrefu Arsenal wanaye Martinelli ambaye anaweza kuziba pengo kwa kipindi fulani, na Mikel anaweza kubadilisha mfumo kuendana na wachezaji waliopo. Ku adapt katika nyakati ngumu ndicho kinachokufanya kuwa elite

Blueprint is there, quality players are there, the process is over, the club needs results, Mikel Arteta is growing into a tremendous manager and he has a bright future ahead.
Tungeweza kupush for Title runs ila Thomas Partey akiumia the whole system collapses, nakubaliana na mshikaji aliandika humu tunahitaji DM mwenye ubora wa kucheza lone pivot kama Partey, Lokonga atakupa kila kitu ila hana uzoefu kwenye elite level.
 
Mikel anaweza kutumia 4-3-3 na 2-3-5/3-2-5 in possession

Ujio wa Zinchenko unairuhusu Arsenal kutumia inverted full backs wawili ambao ni Tomiyasu na Zinchenko. Ambapo katika 3-2-5 Tomiyasu anaungana na Gab pamoja na Ben huku Zinchenko aki invert na Thomas katika kuunda double pivot na Zinchenko huku Adv 8's wakiwa katika half spaces

Katika final third Arsenal wanatumia mfumo mmoja sawa na Barca, Man City ambapo Saka,Mahrez,OD wote wanatumika kama isolation wingers katika kutafuta 1v1 na katika left wing Arsenal hutumia combinations kutengeneza triangle namna Ile Ile City na Barca wanatumia katika vilabu vyao

Mpira umebadilika na hivyo majukumu ya wachezaji. Winga sio kupiga krosi/kulisha kama zamani wanapaswa kufunga na kutengeneza. Mimi binafsi naona katika structure mpya ambayo Mikel atatumia, anaweza kuwatumia viungo ku attack spaces kama City wanafanya kwa wings/8 ktk final third

Nafikiri anahitajika attacker mwingine lakini sio pure ST pengine labda RW pamoja na RB kwa sababu ya ku manage dakika za Saka kumuepusha majeraha pamoja na ku deal na majeraha ya mara kwa mara ya Tomi na sio lazima dirisha hili hata January na uzuri wa Jesus anacheza RW, LW, ST

Na hata kama Jesus akipata majeraha ya muda mrefu Arsenal wanaye Martinelli ambaye anaweza kuziba pengo kwa kipindi fulani, na Mikel anaweza kubadilisha mfumo kuendana na wachezaji waliopo. Ku adapt katika nyakati ngumu ndicho kinachokufanya kuwa elite

Blueprint is there, quality players are there, the process is over, the club needs results, Mikel Arteta is growing into a tremendous manager and he has a bright future ahead.
Ligi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.
Hata mkipewa kikosi kizima cha wachezaji wa Mancity bado kwenye top4 mtaingia kwa kusuasua.
Jesus na Zinchenko mliokua mnawaona City chini ya Arteta mtawaona ni wachezaji wa kawaida mno.
Usajili bora mtakaofanya ni kutafuta kocha mwenye mentality ya Ubingwa ila sio huyo Mateka wenu ambae achievement yake kubwa anayoifurahia ni kuwepo kwenye top4.
 
Kapambane na Timu yako mbovu

Ukikutana na Arsenal Safari hii Ni kichapo Tena

Na Hawa mabeki wenu wafupi na kina magwaya

Hi preseason inawapa mdomo Sana nyumbu
 
Attachments

  • IMG_20220719_125820.jpg
    IMG_20220719_125820.jpg
    78.6 KB · Views: 14
Ligi ikianza ndio mtatambua kua tatizo lenu sio wachezaji bali mna kocha legelege mno.
Hata mkipewa kikosi kizima cha wachezaji wa Mancity bado kwenye top4 mtaingia kwa kusuasua.
Jesus na Zinchenko mliokua mnawaona City chini ya Arteta mtawaona ni wachezaji wa kawaida mno.
Usajili bora mtakaofanya ni kutafuta kocha mwenye mentality ya Ubingwa ila sio huyo Mateka wenu ambae achievement yake kubwa anayoifurahia ni kuwepo kwenye top4.
Nasema hivi ,mtajichanganya TU Safari hii
 
Attachments

  • FB_IMG_1658315807214.jpg
    FB_IMG_1658315807214.jpg
    26.8 KB · Views: 13
Granit Xhaka

"Kiufundi anajua kila kitu. Jinsi timu inavyojiandaa kabla ya mazoezi na kabla ya mechi haiaminiki. Nilikuwa na makocha wengi lakini sina budi kumweka Mikel kama mmoja wa makocha bora katika taaluma yangu.” #afc
 
🚨 Oleksandr Zinchenko aliondoka kwenye kambi ya Manchester City na sasa atajiunga na kikosi cha Arsenal saa chache zijazo ili kusaini mkataba wake. [@FabrizioRomano] #afc
 
Tukisema tuna Uzi mkali muelewe

Arsenal wamevunja rekodi ya kuwa na jezi nyingi zaidi zilizouzwa katika siku ya kwanza ya kutolewa kwa zaidi ya paund milioni 1. [REDaction Gooners
 
Attachments

  • IMG_20220718_140514.jpg
    IMG_20220718_140514.jpg
    312.3 KB · Views: 11
Back
Top Bottom