Arsenal hapa wamecheza Kama pBREAKING: Arsenal are working on deal to sign Oleksandr Zinchenko from Man City. Both clubs are in talk and the Ukrainian is now Mikel Arteta’s priority after missing out on Lisandro Martinez. #afc https://t.co/ZbLHLiSXUy
View attachment 2290312
Zinchenko ni proven EPL
Zinchenko ni proven EPL
Ngoja nikuambie kitu
Sababu tulipo husishwa Martinez coz ni baller pia anacheza nafasi zaidi ya moja (full back, LCM). ila natural position yake ni hiyo full back
Na Lengo la sisi kutaka kumchukua anaenda kuwa backup ya Tierney. Sio aje kuingia kikosi cha kwanza
100% lilikua parfect deal
Man u wanamchukua Martinez moja moja anaingia katika first eleven yao
Pia wamemuangalia katika nafasi ya kiungo zaidi, kitu ambacho ni hatari sana kwa pande zote mbili
Kwa timu na mchezaji mwenyewe
Backup ya arsenal wao man u wameona ni first eleven ndio maana wanapigwa parefu
Ajax players wengi wana struggle sana, hasa falsafa za man u, sioni maisha mazuri kwa huyu Martinez au De jong kama wakitua pale
Hata kama Martinez atakua mzuri kiasi gani wahuni wataamua kupitia kwa magwaya ili kurahisisha kazi (joking)
kuna jambo inabidi tujifunze wana arsenal!Zinchenko ni proven EPL

Sisi tulimtaka kama backupNaona unaandika kwa uchungu sana huku roho inakuuma.
Pole sana mkorea hivi kwa akili zako ulijua kabisa Martinez atakubali kusajiliwa kwenye hiko ki Academy chenu?
Mkuu umeongea jambo muhimu sanakuna jambo inabidi tujifunze wana arsenal!
ni vema saana tukashangilia mchezaji ambaye ameshakuwa comfirmed kuliko hizi tetesi zinazogeuka shubiri mambo yanapobadilika.
kama kuna usajili umeumiza watu wengi basi ni kukosekana kwa rafinha na lisandro martinez,hawa watu walikuwa ni finished products na sio potentials kama usajili mwingine tunaoutarajia.na kuna watu walifika mahali wakaanza kupanga next season first eleven as if tayar tumekamilisha usajili wa hawa watu.its good kujipa matumaini ila tusipitilize ikatuumiza.
timu yetu bado inahangaika kufanya rebuilding ya kikosi na zaidi reputation ya kikosi ili kuvutia world class players.
tukifanikiwa kumpata zinchenko na kiungo mkabaji jamii ya savic au xavi alonso tutakuwa tumepiga hatua
Let's go Edu and Arteta|| Arsenal will now formally bid for Oleksandr Zinchenko [Via - @SkySportsNews].
Baada ya usajili wa Zinchenko kukamilika, nitaomba apatikane CM kwenye nafasi ya Xhaka aidha Serge Milinkovic-Savic au Tielemans na winga mmoja classic ambae mpaka sasa sina recommendation yeyote.🚨 Arsenal are confident and optimistic on agreeing a deal for Lucas Paquetá. Reports, @RBairner via @ArsenalFC_fl. https://t.co/LLLMe8boWJ