karibu Aaron Arsenal.the forum missed youArsenal and Lyon are in ongoing discussions for Lucas Paquetá. There is no hurry between the clubs. The price wanted by Lyon is €60m. Lucas wants to make a sporting and financial leap for his career and hopes the move materializes. Reports, @gabe_carneiro.
https://t.co/GZUTrEJMrY
Tupo around brother, once the gunner always the gunnerKweli ni muda aisee. Aaron sijui nini kimemkuta. Hamis na Mkorea nafikiri wamehamia kwenye draft kwanza. Wengine wameenda kuwasononesha mashabiki wa nyumbu na chelsea kwa kuwapa habari za kutoswa na wachezaji kwenye majukwa yao
Asante kaka , timu yetu unaionajee msimu ujao,Most welcome back brother Aaron Arsenal
Nimekua kimya kidogo coz kuna maeneo yakifanyiwa sajili basi ntakua na clear picture kuhusu msimu huuAsante kaka , timu yetu unaionajee msimu ujao,
Iv tielemans ndo tumemkatia tamaa kabsa🚨 Arsenal ‘imezidisha’ nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kushoto wa Benfica Alex Grimaldo na wanapanga kutoa ofa ya Euro milioni 7 wiki hii, mkataba ambao ‘unaifurahisha’ Benfica. [@JornalNoticias] #afc
Hizi ni tactics zinatumika ili kushusha thamani yake, deal lake lina expire msimu ujao, hivyo kuchelewesha kumnunua hadi mwishoni wa dirisha kunafanya Leicester wawe desperate kumuuza hivyo kuna uwezekano bei ikashuka zaidi. Wakikosea hapo next season anaondoka bure.Iv tielemans ndo tumemkatia tamaa kabsa
Masihara hayaMda wowote anaweza kutangazwa kama Captain mpya wa Arsenal
Martin Odegaard
Ni aheri abebwe tu, hizi vizia vizia, atatokea kipanga amzoe mwisho wa siku tunabaki tip kapHizi ni tactics zinatumika ili kushusha thamani yake, deal lake lina expire msimu ujao, hivyo kuchelewesha kumnunua hadi mwishoni wa dirisha kunafanya Leicester wawe desperate kumuuza hivyo kuna uwezekano bei ikashuka zaidi. Wakikosea hapo next season anaondoka bure.
kwa upande wako unaona nani ndo anafaaM
Masihara haya
apo nimekuelewa mkuuHizi ni tactics zinatumika ili kushusha thamani yake, deal lake lina expire msimu ujao, hivyo kuchelewesha kumnunua hadi mwishoni wa dirisha kunafanya Leicester wawe desperate kumuuza hivyo kuna uwezekano bei ikashuka zaidi. Wakikosea hapo next season anaondoka bure.