Habar ya kante imeikanushwa,namkubali Kante ingawa sidhani kama anaweza kuja. Nasikia amekuwa anasumbuliwa na majeraha siku hizi. Atafaa kucheza na Partey na pia kama mbadala wake jamaa atakapoumia. Shida wakiumia wote
Arsenal ni i con,, every touch show effect.Lisandro Martinez Ajax walikuwa wanatupambanisha na man u ,haya Sasa Arsenal kafika €40+5add ons ,Man u kafika €50(45+5ads ons)
Bei waliyokuwa wanaitaka ,
Sasa kwakuwa wamekaa kipigaji na man u kazoea kupigwa , Sasa wanagoma kumuachia wanasema wanataka €60m
Kifupi Kwasababu Man u kaingia na anamtaka Anthony wanataka wawapige pia kwa €80m
Now sio Arsenal ikihangaika Tena na Lisandro ,kwa hiyo Bei €60m
Jana nilikuwa nasikiliza kipindi cha wasafi cha sports court. Aisee wale jamaa kwa kweli hawajui wanachoongea na kuna mambo wanaongea kama ingekuwa wenzetu wanasikiliza wangejiingiza matatizoni
Eti ooh Kante ataisaidia sana arsenal kwasababu Partey ana kesi mbili za ubakaji. Nani aliwaambia hicho kitu
Halafu Lewandoski anataka kwenda Chelsea. Nyie nyie.
Hiv wanatuona hatufuatilii au
Na wakasema eti Lisandro amegoma kuhudhuria mazoezi kwasababu anataka klabu yake imuachie kwenda manchester. Huyu Lisandro ambaye kila siku namuona mazoezin na wenzake
Halafu nani aliwaambia partey ana kesi ya ubakaji. Hawaoni vyombo vya wenzao hawajataja mchezaji kwasababu sio maadili ya uandishi hata kama unamjua
Kwasasa Hapa bongo UFM nimeona nakugundua wanajitahidi kwa habari za MICHEZO,
Redio nyingi wapo makanjanja wakutangaza Kamari
wengi wanaongea kwa hisia zao tu na si kwamba wamefanya utafiti wowote. Wasikie tetesi kidogo tu wanawahi kutangaza waonekane wako sharp. Suala la maadili ya utoaji habari sijui ni kama hawajui au wanachukulia habari za masuala ya mpira kama habari za udaku za kina wema na kajala kisa tu mpira nao ni burudaniJana nilikuwa nasikiliza kipindi cha wasafi cha sports court. Aisee wale jamaa kwa kweli hawajui wanachoongea na kuna mambo wanaongea kama ingekuwa wenzetu wanasikiliza wangejiingiza matatizoni
Eti ooh Kante ataisaidia sana arsenal kwasababu Partey ana kesi mbili za ubakaji. Nani aliwaambia hicho kitu
Halafu Lewandoski anataka kwenda Chelsea. Nyie nyie.
Hiv wanatuona hatufuatilii au
Na wakasema eti Lisandro amegoma kuhudhuria mazoezi kwasababu anataka klabu yake imuachie kwenda manchester. Huyu Lisandro ambaye kila siku namuona mazoezin na wenzake
Halafu nani aliwaambia partey ana kesi ya ubakaji. Hawaoni vyombo vya wenzao hawajataja mchezaji kwasababu sio maadili ya uandishi hata kama unamjua
Kwasasa Hapa bongo UFM nimeona nakugundua wanajitahidi kwa habari za MICHEZO,
Redio nyingi wapo makanjanja wakutangaza Kamari
Kweli ni muda aisee. Aaron sijui nini kimemkuta. Hamis na Mkorea nafikiri wamehamia kwenye draft kwanza. Wengine wameenda kuwasononesha mashabiki wa nyumbu na chelsea kwa kuwapa habari za kutoswa na wachezaji kwenye majukwa yaoany update guys about arsenal ?
Yaan kumepoa sana aseeeeKweli ni muda aisee. Aaron sijui nini kimemkuta. Hamis na Mkorea nafikiri wamehamia kwenye draft kwanza. Wengine wameenda kuwasononesha mashabiki wa nyumbu na chelsea kwa kuwapa habari za kutoswa na wachezaji kwenye majukwa yao
Acha ujinga wwJesus nae bana Sasa anafiki hii team inadamu ya kushinda kombe lolote kweli ...
Epl
Europa
Fa
Carabao
Hapa hakuna hata kombe arsenal anaweza fika nusu final View attachment 2287765
To win trophies na Ass anal??! huyu jamaa atakua anakula cha chuga.Jesus nae bana Sasa anafiki hii team inadamu ya kushinda kombe lolote kweli ...
Epl
Europa
Fa
Carabao
Hapa hakuna hata kombe arsenal anaweza fika nusu final View attachment 2287765