Kumbe mkikaa huko mnatufuatilia chini chini eeh?π[emoji16][emoji16]hii ndo arsenal sasa nayoijua mimi ukiachana na kelele za mashabiki zake.View attachment 2284678
Mwisho wa siku ukabanduliwa wewe bhanaππHii timu ina laana, hadi mechi mchele bado mnabanduliwa tuu
Mechi ya mwisho mlivobanduliwa mbona mlikuwa kimya.?Mwisho wa siku ukabanduliwa wewe bhanaππ
Mpaka mechi hizi mnaomba tupigwe .......... ila umemuona Captain wetu uzi ulivyo mkubali,ulivyo mkaa yaani fuuuuullllll Shkopa.....mitano tena kwa Captain Maguire.[emoji16][emoji16]hii ndo arsenal sasa nayoijua mimi ukiachana na kelele za mashabiki zake.View attachment 2284678
bora wamempa shavu aseeeeeMkuu katafute makala moja inaitwa "Started early and ended early"........ Mwandishi kamzungumzia kwa uchungu mkubwa sana Jack Wilshere
Jack alianza kutrain na first team akiwa na umri mdogo sana
Miafrika (players)haikomi wana akili fupi sana kwenye mapenzi they don't want to learn angalia Eboue ni mfano mmojawapoKuhusu Ishu Ya Partey..
Kuna mwandishi Mmoja Kutoka Ghana Amechunguza kwa Familia na Ndugu wa Karibu Wa Thomas Partey na Hiki Ndicho Alichosema kuhusu Hii kesi..
Anasema Mchezaji Kutoka London ambaye anahusika na Kesi Ya Ubakaji mwenye Miaka 29 inaaminika ni Thomas Partey
Anasema aliyemuwekea mtego huo ni Mpenzi wake wa kike Aitwaye Sarra Bella
Yakaletwa Mashtaka Yote na Mamlaka Husika iliyokuwa inafuatilia Kesi dhidi ya Partey na Kujiridhisha kwamba Hakuna Ushahidi wa Kutosha Kuweza Kumhukumu Partey
Na Inasemekana Mpenzi wake alimfanyia hivyo baada ya kumtembelea Partey huko Spain eneo la Mabella ambapo ana nyumba na Kutaka afunge nae ndoa Partey Akagoma kwa wakati huo .
Partey aliwaambia Wandishi wa Habari Kuwa Alibadili Dini na kuwa Muislam Sababu Ya Mwanamke Huyo Huyo ambaye alimuwekea Mtego wa kesi hii aitwaye Sara bella..
Soon Partey atakuwa Safe kama mambo hayatabadilika...
Funzo: La Kwanza Team ikiwa Upande wako watakufichia kila kitu chako hadi mwisho ijulikane kama umezingua au isijulikane kama umesingiziwa katika hiki Arsenal wako juu sana
Funzo la.pili.. Wanawake wengi Tunaokutana nao Ukubwan tukiwa na mafanikio wengi wao hawana upendo sababu wako after Money.. Choose wisely mtu gan unaenda Kumuoa sio kila anayekupenda ukiwa na hela ni mwanamke wa kuoa..
View attachment 2285111
Wachezaji wenye asili ya Afrika wanapigwa sana pesa kwa mgongo wa mahusianoMiafrika (players)haikomi wana akili fupi sana kwenye mapenzi they don't want to learn angalia Eboue ni mfano mmojawapo
Kante akienda Arsenal nakunya ubungo fly over mpk msamvu morogoro.Kaa mkao wa kula, Kante is now on Arsenal radar
Ayo mavi yenyewe unayo au unataka kuhatarisha kinyeo hiko?Kante akienda Arsenal nakunya ubungo fly over mpk msamvu morogoro.
namkubali Kante ingawa sidhani kama anaweza kuja. Nasikia amekuwa anasumbuliwa na majeraha siku hizi. Atafaa kucheza na Partey na pia kama mbadala wake jamaa atakapoumia. Shida wakiumia woteKaa mkao wa kula, Kante is now on Arsenal radar
Habar ya kante imeikanushwa,namkubali Kante ingawa sidhani kama anaweza kuja. Nasikia amekuwa anasumbuliwa na majeraha siku hizi. Atafaa kucheza na Partey na pia kama mbadala wake jamaa atakapoumia. Shida wakiumia wote