Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
ARSENAL YAFANYA SIRI KUHUSU JINA LA WINGA INAYEMUWINDA
Fabrizio Romano huwa anafanya mijadala Youtuble na Que Golazo hasa kila jumatano, , Fabrizio ameongelea swala la Martinez, anasema leo amerudi Ajax kwa ajiri ya preseason ,na ameomba Kuondoka akacheze EPL, anatakiwa achague kati ya Arsenal na Man u, ila Man u wanafaida Sababu ya ETH alikuwepo hapo Ajax, Lakin Arsenal pia Wana nafasi Sababu Ya project yao.
Amesema Kuna dalili za Winga anayelengwa na Arsenal, lakini anataka kuifatilia hiyo habari.
Mwisho aliipongeza Arsenal kwa kufanya kimya
Huyu Ni mbadala ya Raphinha, tutamjua siku za karibuni.
Wengi wanahisi labda Asensio, au Mousa Diaby,.
Ila tusubiri Tuone, Maana hata Fabrizio hajapata jina ila anasema Kuna dalili Arsenal wanasaka Winga.
Mwisho @FabrizioRomano he Said:
"I'm sure Edu is working on something." 😉
Hee kumbe shabiki wa Chelsea, so kwa hiyo nyie Lautaro hamumtaki?
Sterling mchezaji gani? katika chance kumi anapata moja, msajili halafu muone mtavyo kaanga chips mixer misonyo na matusi na mimi nawaombea mumsajili Sterling kama ninavyo waombea Manyumbu wabaki na Captain wetu Maguire.
Hapana ,ila wote Ni wa ArgentinaHuyu lisandro Martinez ni ndugu na lautaro Martinez mkuu?
Huyu lisandro Martinez ni ndugu na lautaro Martinez mkuu?
Basi kwa timu hiyo unayo shangilia ww nyie Lautaro hamumtaki?Mimi co lichelisii mkuu wala liasenalii wala limaniyuu
Basi kwa timu hiyo unayo shangilia ww nyie Lautaro hamumtaki?
Hapana ,ila wote Ni wa Argentina
Haya muongezeeni na huyo atawasaidia anaweza kucheza mpaka namba 10.Mimi ni baserona mkuu,
Leeds ameikubalia Chelsea ila Raphina ndo amekataa, nyie arsenyeto mmekataliwa na Leeds na Raphina.Aliyekataliwa ni Chelsea ,Ndiye aliyopeleka pesa kwa Leeds ,Raphina akagoma
Kama Arsenal amekataliwa tuambie aliyefika dau kwa Leeds Ni Nan Kama sio Chelsea , na inakuwaje wiki ya pili hii hamjamalizana na mchezaji? Jibu Ni simple TU MCHEZAJI HAITAKI CHELSEA
Na sio Raphina TU most of players wameigomea Chelsea
Jules Kounde, Lewandowisk, Kolibaly , n.k
Hata De ligt iwapo Baryen watafika Bei anawapiga chini Chelsea
Mbona ipo waz inajulikana Chelsea Ni klabu bado ndogo tu , Kama uefa hata Forrest anayo ,hata astonvilla ila Ni vilabu vidogo tu
Haya muongezeeni na huyo atawasaidia anaweza kucheza mpaka namba 10.
Na uzuri kila klabu ina acc social networks unaweza ukaenda ukatoa mtizamo wako kuhusu Lautaro kwenye sehemu ya comment au angalia hata vipindi vya Barcelona TV ,kuna muda namba ya Xavi inapita kwa chini, ichukue umtumie ujumbe mfupi kuhusiana na Lautaro na si kutupigia kelele humu kwenye thread yetu.
Saa ngapi Gemu?Kwenye game ya leo sidhani kama jesus atacheza
Saa ngapi Gemu?