Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FACT Jesus sio mbaya ni anafight akiwa kwenye ground anything can happen asipoperform haitakuwa bahati yake coz usajili huwa kuna muda unaweza usilaumu management wala coach pia kuwa Brazil national player asilimia 100 huyo mchezaji ni class kubwa but sometimes kuna usajili unaona kabisa huu ni wa kipuuzi na mifano ipo okonkwo ,Lokonga but sio kwa Jesus
 
Wakati mwingine waga mnapenda kujitoa ufahamu hadi ufahamu wenyewe unashangaa...!

Kwahiyo wewe na Akili zako timamu unadhani Jesus hawezi Kufunga goli 5 pale EPL? au kwakuwa nawewe tu ume comment roho yako iridhike
Si tupo hapa, dogo ni mbovu! Pep alikua anamsitiri sana.
Ndio nakwambia akifikisha goli tano niiteni mbwa.
 
Si tupo hapa, dogo ni mbovu! Pep alikua anamsitiri sana.
Ndio nakwambia akifikisha goli tano niiteni mbwa.
Alikuwa anamstiri kivp? pep alikuwa hamtendei haki dogo msimu huu mechi nyingi katokea pembeni, kwa nafasi walizokuwa wanatengeneza arsenal na jinsi Auba na laca walivyokuwa wanazingua, mapema Sana dogo anafikisha 10+
 
Si tupo hapa, dogo ni mbovu! Pep alikua anamsitiri sana.
Ndio nakwambia akifikisha goli tano niiteni mbwa.
Sina haja ya kukuita Mbwa mkuu maana haita Athiri chochote kwako, Endapo mtu kichaa ukamuita we kichaa...! hatojali na wala hatohisi kama kuna Baya kuitwa ye Kichaa Kwa maana ni kweli kichaa

Kwahiyo kukuita wewe Mbwa ilhali kupitia hii hoja ni teyari unaonesha kuwa wewe una kila dalili 95% kuwa wewe kweli ni Mbwa...! itakuwa ni matumizi mabaya ya Muda
 
Hii habari ya Partey kuhusishwa na ubakaji mbona siioni humu, ina ukweli kiasi gani
 
Hii habari ya Partey kuhusishwa na ubakaji mbona siioni humu, ina ukweli kiasi gani
Hakuna uhakika kama ni Partey, japo tetesi zinadai ni yeye. Na inasemekana ameachiwa uchunguzi unaendelea.

Sijui kama hawa wazungu watamwacha salama.
 
Hakuna uhakika kama ni Partey, japo tetesi zinadai ni yeye. Na inasemekana ameachiwa uchunguzi unaendelea.

Sijui kama hawa wazungu watamwacha salama.
I saw it yesterday evening nkaipotezea naona imekuwa serious issue hapa fans wa Arsenal tumekwisha tupo katika dilemma if watadhibitisha ni yeye sababu habari ni either partey or Ben Davies wa Spurs but why partey hayupo Germany
kwenye squad without any proper information hili ndo la kujiuliza
 
Duuuh! Sidhani kama kuna mbadala wa Partey sokoni.

Kinachoniuma zaidi ikithibitika ni kweli, itakuwa mwisho wa Career yake.
 
Nini kimemkuta Partey? Naona Arsenal inahusishwa na usajili wa Douglas Luiz, he is not a good #6.
 
Oya kuna huyu mtu anaitwa Diaby RW anacheza leverkusen naona he is the big deal, huyu anafit roles za Saka/Raphinha vizuri.
Moussa Diaby anahusishwa na Newcastle, juzi tu nimetaka Arteta amsajili Kmmmk. Bruno G naye walimchukua.
 
Nini kimemkuta Partey? Naona Arsenal inahusishwa na usajili wa Douglas Luiz, he is not a good #6.
Amekuwa arrested jana sababu ya rape na hajaenda Germany
na squad kabakia London but now on wanasema ameachiwa but yupo under investigation
 
Kwa mtu yoyote anayejua mpira anaelewa Thomas Partey ndio roho ya Arsenal, inawezekana ni propaganda from mainstream media ili kuikwamisha Arsenal, Gunners tunachukiwa na dunia nzima tusirudi kwenye peak.

Angalia baada ya match fixing iliyofanyika dhidi ya spurs game, kuna mwandishi aliandika makala kisa Arteta kukosoa maamuzi ya yule referee aliyetoa red card kwa Holding na penalty iliyokuwa controversy.
 
He will be suspended na kibaya zaidi, the Club will continue to pay him his salary, if found guilty, mpira wake utakuwa umeishia hapo. Uchunguzi wa ku-rape unachukua muda mrefu, ukizingatia kwamba tayari ana case tatu. Refer case ya Mendy na yule dogo wa Man United.
Attempt to rape Ina definition pana sana, nina mashaka kama tutamuona tena, ukizingatia na ngozi yake.
Usajili wa Tieleman uendelee
 
Kwa hiyo asipofikisha hizo goli ww ndio utakua mbwa, haitaathir chochote si ndio?
 
Hivi mtu kama Partey anakula £200,000 p/w anabaka vipi, with all the money at his disposal anabaka vipi sasa? Si unachukua mwanamke yoyote duniani au mimi ndio sielewi.

If at all ni kweli, huyu mwamba kaharibu maisha yake yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…