Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Ni uvivu wa kuscout kwa timu zingine au ni umuhimu wa nafasi wanazozitaka wao ndo inawabidi waingilie deal zetu, na nmepita pahala man U pia wanahusishwa Na Tielemans
 
Hello gunners. Sijapata nafasi ya kufuatilia sajili mpya vizuri ila naona tutaenda vizuri tu maana tunaangalia key areas za kuimarisha kwa sasa. Tumeleta kipa mpya ili leno aweze kwenda kutafuta nafasi ya kikosi cha germany. Tumeleta creative mid ashirikiane na ode kupikia striker mpya gabriel na kina saka. Challenge kubwa kuliko zote sasa kwangu ni nafasi ya left back. Tukipata wa kuaminika hapo nitakuwa na amani kiasi. Naona back up ya partey hatutafuti wakati huu itakuwa tumewaamini kina lokonga na elneny. Sio mbaya kama watakuwa bora zaidi msimu huu. Focus iwe kwenye mpira mtamu zaidi tufurahie kuutazama...Tufungwe goli chache zaidi na tufunge mengi zaidi ya last season. Tujitahidi kufikia 80 points, tutakuwa tumeboreka zaidi.
 
MTEGO KWA LISANDRO MARTINEZ HUU HAPA

Kwa MUJIBU was nguli wa Habari David ORNSTEIN anasema Arsenal wanamuona Lisandro Martinez Kama LB , wakati Man u wanamtaka Kama CB. Chaguo limebaki kwa mchezaji Sasa.

Man u katuma ofa inayokaribiana na ya Arsenal

🚨 Arsenal’s pursuit of Lisandro Martinez continues & personal terms would not be a problem. The issue now is which club can agree a fee with Ajax & then who Martinez decides to join. [@TheAthleticUK] #afc

Manchester United in advanced negotiations for Ajax's Lisandro Martinez

Arsenal wanamuona Zaid eneo la LB Sababu kimo chake Ni mfupi ana 5 feet na 9 inch ,, .

Lakini Bwana Charles Watts Arsenal correspondant kutoka Goal.com Anasema Lisandro anavutiwa zaidi kufanya kazi na Arteta , lakin pia Man u Wana advantage kutokana na Uwepo wa Van der sar pale Ajax ,pia Lisandro Martinez alikuwa chini ya Eric ten Hagg pale Ajax.

Soma Zaid Hapa

Charles Watts:

Those close to the situation believe that the Lisandro Martinez connection with ten Hag might give United an advantage over Arsenal, but insist that he is still open to a move to Arsenal and that he is a big admirer of Mikel Arteta’s ideas

Manchester United match Arsenal's €45m Martinez bid with Ajax eying Premier League bidding war | Goal.com
 
Nakuonaga unauelewa mdogo ila ngoja nikuulize tu, torres anawekwaje kwenye list ya flops wakat ameisaidia timu kubeba UEFA?
Ni kitu gani kinajustify mchezaji kuwa flop? Mafanikio yake binafsi au ameisaidiaje timu kupata mafanikio?
Nakusaidia kitu.

Niweke kwenye ignore list.

Binafsi sijawahi kukuona kwenye uzi wowote wa michezo so naamini umetokea jukwaa la mapenzi na unaleta vibes za kuvamia kila unayemuona.
 
Ile jina la Arsenal kutumika kuboost bei ya mchezaji imeendelea mpaka kwa Aaron Hickey.

Alitajwa kutakiwa na Arsenal. Brentford wamepanda dau mdau wa Twitter akaikashifu Arsenal ila Fabrizio akaweka hali sawa.

 
Huyu ni miongoni mwa wachezaji nilioamini watakua star Arsenal.

Timu za Italia zimesemwa sana wiki za nyuma kutokana na ubahili. Mfano Inter mwaka jana wamemuuza Lukaku kwa 90M mwaka huu wanaambiwa watoe 10M wakae naye kwa mkopo wakasema wana 5M.

Fiorentina ilikubaliana na Arsenal kulipa 15M mkopo umeisha Fiorentina anasema hana nia ya kulipa. Yaani hana nia ya kulipa kwaajili ya mchezaji ambaye amecheza kwake msimu mzima huku Kocha akisema anataka jamaa abaki.

Pia kuna shida moja mfano timu ndogo ya italy inakubali kumuuza mchezaji Juve kwa 60M ambayo atalipwa kwa awamu na anakataa 60M ya mara moja kutoka klabu ya nje ya italy
 
Nakusaidia kitu.

Niweke kwenye ignore list.

Binafsi sijawahi kukuona kwenye uzi wowote wa michezo so naamini umetokea jukwaa la mapenzi na unaleta vibes za kuvamia kila unayemuona.
Umeona ulivyokua na uelewa mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…