Sawa sawaHapana labda kumbukumbu zako hazipo sawa
Hizi Ni data zake ilikuwa 31 /8/2020
Arteta akiwa na miez 6 tu Toka apewe ukocha Arsenal
Bukayo Saka’s stats per position:
•Left wing: 18 games, 2 goals, 5 assists.
•Left back: 16 games, 1 goal, 4 assists, 7 clean sheets.
•Right wing: 5 games, 1 goal, 2 assists.
•Central midfield: 1 game, 1 assist.
Na hizo Central MD, na Right wing ,Arteta ndio alianza kumjaribu, hizo nafas za LW Arteta pia ndio kampa nafas nyingi ,emery na ljumberg wamemchezesha Sana LB
Saka mwenyewe alisema
“I always say that my best position is in the attacking line, whether that’s on the line or attacking midfield,” Saka said. “That’s my favourite position to play and also my best position to play in.”
Msimu ujao mashabiki wa Arsenal tuwe makini na vyakula tutakavyokaribishwa na mashabiki wa Man u!
Ni kweli tuwe nao macho!b
Njoo inbox nikupe namba ya admin akuungeAisee bado sijapata link ya group la Arsenal family la WhatsApp
Nimewamisi wana familia wenzangu wa arsenal wa kina Kai, Engineer Shayo, fan boy etc
Pongezi kwa arsenal kwa hizi sajili.
Once gooner always gooner.
Mbona mnapenda kujitekenya wenyewe, hao wachezaji timu gani ilikua inawataka? Kwa Auba sawa, alikua anamapenz tu na Arsenal, hao wengine hata Man u tu pale na ubovu wake hawapati namba.Aubameyang, Lacazette, Pepe, Partey and Gabriel Jesus all chose Arsenal without Champions League. Dont tell me we cant attract great players.
Natamani hata nisikujibu ,Ila basiMbona mnapenda kujitekenya wenyewe, hao wachezaji timu gani ilikua inawataka? Kwa Auba sawa, alikua anamapenz tu na Arsenal, hao wengine hata Man u tu pale na ubovu wake hawapati namba.
Tena huyo Pepe achilia mbali man u hata Mbeya kwanza hapati namba.
Pepe ameshindwa mkuu, huwezi mtegemea kwenye top flightHow about pepe sio Winger asilia?
Saka under Emery alikuwa LW, kuna injury alipata Tierney ikafanya arudishwe LB, Arteta ndio alianza kumtumia RW.Mh labda kama kuna mechi zilinipita.
Mimi nimemuona Saka akicheza LB kwa Arsenal haizidi mara mbili, nikamuona chini ya Emery akicheza RW tukiwa Europa akascore nje ya box kwa curve.
Baada ya hapo sikuona mechi aliyocheza nje ya RW isipokua alikua anapishana na Pepe na kumbukumbu zangu zinaniambia Arteta kamkuta RW akahisi anahitaji kukomaa na akaona Pepe siyo mzuri sana ndiyo akaletwa Willian.
Pepe na Willian wakaunderperform na Saka akabaki huko.
So Partey hapati namba United? Tupunguze mahaba jamani.Mbona mnapenda kujitekenya wenyewe, hao wachezaji timu gani ilikua inawataka? Kwa Auba sawa, alikua anamapenz tu na Arsenal, hao wengine hata Man u tu pale na ubovu wake hawapati namba.
Tena huyo Pepe achilia mbali man u hata Mbeya kwanza hapati namba.
Muwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.Natamani hata nisikujibu ,Ila basi
Pepe akiwa Lille alikuwa Moto na alitakiwa na vilabu hivi PSG, LIVERPOOL , N.K
Lacazette the same Aliookuwa Lyon alitakiwa na timu nyingi TU zilizokuwa UCL
Partey siwez kumzungumzia maana Anajieleza ,
Hapo Man u Kuna winger gan anamuweka nje Pepe? Unaniambia Sancho ? Rashford au Nan? Au ushabiki TU, Pepe anawekwa bench arsenal na Bukayo saka the wonder kid
Meza mate,kunywa maji mengi ...dawa nzuri ya msongo wa mawazoMuwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.
Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.
Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.
Kwanye groups zenu hapakaliki mnakuja kutupigia kelele huku. Manyumbu nguvu zakubishana kwasasa katika dirisha hili mnazitoa wapi?Muwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.
Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.
Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.
Hebu malizana na daily mail hapo mkuuMuwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.
Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.
Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.