Nyau kweli huyo, apewe martinelEddie Nketiah kasaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga gunners mpaka mwaka 2027.
Moja ya kipengele kwenye mkataba wake ni kuwa apewe jezi namba 14.
Je anastahili hiyo jezi ?
Martinelli mbona kapewa namba 11Nyau kweli huyo, apewe martinel
Gunners tunamtaka Lisandro Martinez toka Ajax (beki kisiki) [David_Ornstein]
Matter of timeMbona deal ndogo ndogo zinakamilika mapema saaana why ishu ya Jesus na Tielemans hazikamiliki tu
Hujui ballMambo gunners. Bado sielewi viongozi wetu wanaona nini kwa nketiah ila labda atatushangaza wengi kwa mazuri
Mambo gunners. Bado sielewi viongozi wetu wanaona nini kwa nketiah ila labda atatushangaza wengi kwa mazuri
Fábio Vieira signs
Eddie Nketiah re-signs
Bid submitted for Gabriel Jesus
Working on Youri Tielemans deal
Arsenal off to a hot start this transfer window
Xhaka bado yupo Mzee......Lengo ni squad depthDeal ambalo sina uakika nalo kama litakamilika ni la Tielemans kwa habari niliyoiona ya kua inategemeana na situation ya Xhaka kama atabaki au ataondoka Arsenal
Kila timu ina project yake Mzee.....sio kwamba timu inasajili ovyo ovyo tuBale
Isco
Marcelo
Dyabala
Asensio
Suarez
Rabiot
Icardi
Hawana makazi Hao mnahangaika na nketia hii timu hii Ina laana
Sawa acha waendelee na project watakua kama Brighton tuKila timu ina project yake Mzee.....sio kwamba timu inasajili ovyo ovyo tu
Ukiangalia signing za Arsenal,utakuwa ushaelewa project yao ni ipi?
Hilo wala halina tatizo kwetu kama Arsenal till we dieSawa acha waendelee na project watakua kama Brighton tu