Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio style ya Arsenal hii ya usajili. Mara zote rivals wamekuwa wakisubiri Sisi tuseme targets zetu halafu wazichkue. Tumesema tu kuhusu Bissouma basi kila mtu anamtaka.
Tulia wewe you know nothing about football eti tuseme target wapinzani wawachukue hivi kwa akili yako timamu which big teams atahangaika na Tielemans?Jesus?hao ni level yetu sisi ungesema nani tumewahi mtaka rivals wakambeba?ndani ya hii miaka 3 and imagine Lewandoski anataka kuondoka ila haifikirii Arsenal kamwe Arsenal ni team ya rumours basi all in all up to now mambo hayaeleweki hata hao ambao nimewamention hakuna offer iliyopelekwa according to reliable sources za soccer Arsenal hata kuuza mchezaji kwa pound Milioni 30 haijawahi tokea ndani ya hii miaka 3 then unasema mambo ya rivals may be Manchester United ndo unamaanisha ataibia wachezaji Arsenal na si magiants wa football
 

Benardo si anacheza kama namba 8s au ni 10s
 
Nowadays, 4-3-3 set-up wanatumia two #8s, tuongee kuhusu RCM & LCM sio AM, so Fabio Vieira kwa namna anavyocheza FC porto anatumika kwenye right hand side, huyu ni RCM.
 
Huyu Viera mechi nyingi za msimu huu kacheza kama winger. Ingawa ni AM. This means huyu anakuja Arsenal akiwa kama Silva pale City.

Bado anahitajika DM. RB, RW na ST. Huyu Viera mi nimemjua baada ya kutakiwa lakini sijawahi mjua kabla.

Bissouma anatoka Brighton kwa 35M anaenda Spurs.
 
I repeat, achana na mimi kabisa!
 
Pogba kasema anaenda Juve ili kuwathibitishia United kwamba walikosea kuchelewa kumpa mkataba.

Inter wameiambia Chelsea wako tayari kutoa € 5M kwaajili ya kumrudisha lukaku
 
Daaaahhh we jamaa unaongeaga ukweli mchungu mpaka mashabiki viazi wanakereka.
Mashabiki wenzio wa Arsenal hua hawapendi kusikia ukweli unaouma, ili uendane nao inatakiwa muda wote uwe unasifia timu pamoja na maamuzi yote ya timu kwa ujumla wake.
Akisajiliwa Makwinyoz unatakiwa umsifie kua ni bonge la mchezaji ambae ndie atakua mrithi halali wa Lionel Messi, amesajiliwa huyo muhuni wa ureno Fabio Vieira unatakiwa umsifie kua yeye ni zaidi ya Bernardo Silva na msimu ujao lazima achukue mchezaji bora wa Epl.
Hapa kuna Martinel, hapo yupo Saka, huku kuna Fabio Vieira, pembeni kuna Makwinyoz pale kuna Lukonga Arsenal msimu huu lazima tuchukue Epl na Europa.
Hii ndio mambo mashabiki wanapenda kusikia.
 
Nyumbu mnateseka sana, na mtaseka

Kama ni chelse msimu huu hakuna usajlil mtafanya, ban inawahusu
 
Yaah! Nafasi yake ilikuwa kurotate na Partey ila bahati mbaya kwake ni kwamba tunaye Lokonga. Spurs ataingia direct kwenye 1st X1.
arsenal wame extend mwaka 1 kwa Mohamed elnenny pia, so ni Partey, elnenny na Lokonga
 
🚨Eddie Nketiah kasaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga gunners mpaka mwaka 2027.

Moja ya kipengele kwenye mkataba wake ni kuwa apewe jezi namba 14.

Je anastahili hiyo jezi ?
 
Fábio Vieira signs ✅
Eddie Nketiah re-signs ✅
Bid submitted for Gabriel Jesus ⏳
Working on Youri Tielemans deal ⏳

Arsenal off to a hot start this transfer window
 
🚨Fabio Vieira Done deal mkataba mpaka mwaka 2027.

"Busy days for Edu in many negotiations"- Fabrizio Romano.

Arsenal fans be Excited 🔥
 
Eddie Nketiah kasaini mkataba mpya wa kuendelea kukipiga gunners mpaka mwaka 2027.

Moja ya kipengele kwenye mkataba wake ni kuwa apewe jezi namba 14.

Je anastahili hiyo jezi ?
Nyau kweli huyo, apewe martinel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…