Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Fullbacks yupo Tierney & Tomiyasu, huwezi kuwaza kusajili backup players ikiwa in best X1 hujakamilisha kupata quality players.
soma vizuri hiyo article.
Hii kitu inafikirisha. Timu haina uwezo wa kutoa paundi 25m kumchukua Bissouma?
Sijui kama umenielewa.Wote hao pancha
Hakuna uwezo kwa maana ipi? Hujui kwamba kuna Partey & Lokonga kwenye nafasi yake!.
Hii kitu inafikirisha. Timu haina uwezo wa kutoa paundi 25m kumchukua Bissouma?
Kama Jesus atajiunga Arsenal inabidi ukafute negative comments ulizoandika kuhusu jesus kujiunga Arsenal without UCLLet's wait n see!View attachment 2262994
Source zinaonesha Tielemans ni priority, ngoja tuone kama ni smokescreen, ila hii imekuwa ya kushitukiza kama vile TomiyasuUsajili wa Fabio vieira kuja Arsenal kuna athari yoyote kwa kumsajili Tielemans????
Hakuna uwezo kwa maana ipi? Hujui kwamba kuna Partey & Lokonga kwenye nafasi yake!
Source zinaonesha Tielemans ni priority, ngoja tuone kama ni smokescreen, ila hii imekuwa ya kushitukiza kama vile Tomiyasu
Tunawaangalia tu hawa. Tukisema tunaambiwa tunapenda matusiKama Jesus atajiunga Arsenal inabidi ukafute negative comments ulizoandika kuhusu jesus kujiunga Arsenal without UCL
Ndio style ya Arsenal hii ya usajili. Mara zote rivals wamekuwa wakisubiri Sisi tuseme targets zetu halafu wazichkue. Tumesema tu kuhusu Bissouma basi kila mtu anamtaka.Source zinaonesha Tielemans ni priority, ngoja tuone kama ni smokescreen, ila hii imekuwa ya kushitukiza kama vile Tomiyasu
Anacheza right hand side, maybe atatumika RCM anarotate na Ø, inaonesha nafasi ya Tielemans LCM ipo, Kama sivyo basi mmoja kati yao wawili atashift left.Role yake ni ipi haswa na jinsi gani arteta atamtumia huyu jamaa
Ile mid ya Santi Carzola X Coquelin X Ozil itarudi next season.Ndio style ya Arsenal hii ya usajili. Mara zote rivals wamekuwa wakisubiri Sisi tuseme targets zetu halafu wazichkue. Tumesema tu kuhusu Bissouma basi kila mtu anamtaka.
Kwa hiyo Bissouma sio pancha?Wote hao not reliable, mmoja pancha mwingine tia maji x2
Vieira ni AM hivyo atacheza upande wowote akimsaidia Odegaard atakaecheza nyuma yake.Anacheza right hand side, maybe atatumika RCM anarotate na Ø, inaonesha nafasi ya Tielemans LCM ipo, Kama sivyo basi mmoja kati yao wawili atashift left.