Gabriel Jesus’ gonna join a Premier League club this summer - and not Real Madrid, as explained two days ago. More to follow soon.#MCFC
Gabriel will leave Man City for sure, no changes expected.
dili la kwenda wap sasa boss kuja arsenal au?Hivi hili deal halikamiliki tu
Gabriel Jesus’ gonna join a Premier League club this summer - and not Real Madrid, as explained two days ago. More to follow soon.#MCFC
Gabriel will leave Man City for sure, no changes expected.
Hawa wakora wameshazoea kununua wachezaji wa mafungu mafungu, £20m anapata wachezaji 6 mpaka 7 halafu nyinyi mnawaambia watoe £50 kwa mchezaji mmoja kweli???Next season city mbele Kuna sterling ,foden ,Mahrez , halaand, Julian Alvarez...
Jesus anaforce kuondoka Kwan atakuwa na game chache sanaa mbele ya hao miamba....ila arsenal hamuwezi kutoa £50millon kwa jesus..
Sijui manataka mchezaji gani Tena maana jesus akipewa match nying lazima atakupa magoli tu ,anaweza kutokea pembeni,kutumika kama striker ,ana nguvu ,anajua kuforce kupenetrate kwenye box ,jesus kukupa penalty ni kitu cha kawaida ,anauzoefa na PL ....
Any way wacha tuone
Sema huyu mchezaji wa Arsenal anajua sana kutupia cheki hiyo top jamaa ni model mzuriView attachment 2257989
Huyu bellerin ni kipusti huyu..Sema huyu mchezaji wa Arsenal anajua sana kutupia cheki hiyo top jamaa ni model mzuriView attachment 2257989
Mwanangu unafaa kuwa dalaliNext season city mbele Kuna sterling ,foden ,Mahrez , halaand, Julian Alvarez...
Jesus anaforce kuondoka Kwan atakuwa na game chache sanaa mbele ya hao miamba....ila arsenal hamuwezi kutoa £50millon kwa jesus..
Sijui manataka mchezaji gani Tena maana jesus akipewa match nying lazima atakupa magoli tu ,anaweza kutokea pembeni,kutumika kama striker ,ana nguvu ,anajua kuforce kupenetrate kwenye box ,jesus kukupa penalty ni kitu cha kawaida ,anauzoefa na PL ....
Any way wacha tuone
Tunaposemaga hawa jamaa ni timu y mapunje,muwe mnatuelewa, hapo bado OrdegaardSema huyu mchezaji wa Arsenal anajua sana kutupia cheki hiyo top jamaa ni model mzuriView attachment 2257989
Next season city mbele Kuna sterling ,foden ,Mahrez , halaand, Julian Alvarez...
Jesus anaforce kuondoka Kwan atakuwa na game chache sanaa mbele ya hao miamba....ila arsenal hamuwezi kutoa £50millon kwa jesus..
Sijui manataka mchezaji gani Tena maana jesus akipewa match nying lazima atakupa magoli tu ,anaweza kutokea pembeni,kutumika kama striker ,ana nguvu ,anajua kuforce kupenetrate kwenye box ,jesus kukupa penalty ni kitu cha kawaida ,anauzoefa na PL ....
Any way wacha tuone
Arteta anawahujumu
Mtu wa shamba atabk shmb
Sio tatizo mku kuw na brazil wengi, kumbuka wenger na wa faransa,,Tumempata Marquinhos as a future prospect na ni replacement ya Nicola Pepe in the long run, Nicolas pepe has skills and lacks mentality of a great player. Hili chama lishakuwa la Wabrazil.
I love Brazilians, ila Pepe hana future Arsenal na lazima wakala wake atamtafutia timu this window, Replacement ya pepe ni Raphinha in the short run. Raphinha kurotate na Saka, at times anacheza left hand side.Sio tatizo mku kuw na brazil wengi, kumbuka wenger na wa faransa,,
Issue ni we need to back in our level ya ushindani..
Daah hawa wachezaj wa mafungu, ila ngoja tuone. Kuna kitu arteta anatak kutuaminisha msimuhuu
Ila pepe sizan kama ataondoka na akiondoka nay safi tu no body car na akibak safi pia.
msimu ujao kati ya matinell au saka mmoja tutampoezaI love Brazilians, ila Pepe hana future Arsenal na lazima wakala wake atamtafutia timu this window, Replacement ya pepe ni Raphinha in the short run. Raphinha kurotate na Saka, at times anacheza left hand side.
Kivipi?msimu ujao kati ya matinell au saka mmoja tutampoeza