Castr alishauri kuhusu wenger kujumuishwa kwenye bodi ya timu.wenger akimpigia simu mchezaji uzito wake ni tofauti na arteta au Eduhakuna straika bora wa daraja la kwanza ambaye atataka kuja arsenal.sio kwamba timu yetu ni mbaya ila hatuna ushawishi kwenye nyanja baadhi
Sasa mkuu huu ushauri utaishia wapi?? AhahahahaCastr alishauri kuhusu wenger kujumuishwa kwenye bodi ya timu.wenger akimpigia simu mchezaji uzito wake ni tofauti na arteta au Edu
Watu wetu wanafanya kazi kwa weledi na umakini wa hali ya juu. Wameamua kutokukurupuka!ukitazama timu zenye financial muscles kama chelsea,man united na hata city namna wanavyoingia chaka kwa usajili wa baadhi ya wachezaji tena waliogharimu pesa nyingi kuna kitu unajifunza kwa klabu yetu yenye hela za manati.
mkuu kuna kitu kinaitwa "muda"Watu wetu wanafanya kazi kwa weledi na umakini wa hali ya juu. Wameamua kutokukurupuka!
Chelewa ufike mkuu.mkuu kuna kitu kinaitwa "muda"
Watu wetu wanafanya kazi kwa weledi na umakini wa hali ya juu. Wameamua kutokukurupuka!
N ndio maana nasema, Edu na Watu wake wanafanya kila jitihada kuhakikisha hizo steps ulizozitaja zinafanyika. Sisi washabiki maandazi huku tunataka timu isajili tu isajili tu isajili tu. Hatujui hata namna gani watu wanasajiliNope, uamuzi wa kumsajili mchezaji hauwagi wa ghafla, a player is identified, assessed for a long period, decision reached and talks initiated covertly before the end of the season. E.g Halaand
Halafu haya mashoga utayasikia hapa yanadanganyana kuwa yana timu. PumbavuuuuuMliongoza kuwa game inhand. Na mkakosa champion
the power of k-vantHalafu haya mashoga utayasikia hapa yanadanganyana kuwa yana timu. Pumbavuuuuu
Shoga baba yakoHalafu haya mashoga utayasikia hapa yanadanganyana kuwa yana timu. Pumbavuuuuu
Kwa kua mnafilana nae sio.
Lugha ya matusi na kuudhi unanufaikanayo vipi!!?Kwa kua mnafilana nae sio.
Huyu nae ni mtu mzima asiyejiheshimu.Kwa kua mnafilana nae sio.
man city wanaogopa ya RVP kwa arsenal baada ya kuhamia man u.nilishasema hapa jesus au man city wanaitumia arsenal kwa pamoja.city wapate transfer fee ya maana na mchezaji apate mkataba wa maana.hii tunaita win-win situation na tusipoangalia arsenal tunapotezewa muda.Arsenal 'agree' personal terms with Gabriel Jesus
As per Football Insider, Arsenal and Manchester City forward Gabriel Jesus have agreed on personal terms for a potential transfer this summer. The Gunners have also started initial talks with City but haven't yet agreed on a transfer fee.
Wanatubania sana hawa jamaaman city wanaogopa ya RVP kwa arsenal baada ya kuhamia man u.nilishasema hapa jesus au man city wanaitumia arsenal kwa pamoja.city wapate transfer fee ya maana na mchezaji apate mkataba wa maana.hii tunaita win-win situation na tusipoangalia arsenal tunapotezewa muda.
jamaa hawana shukrani tuliwauzia nasri,clichy,sagna na adebayor ila wao kutupa jesus wanaona nongwa
Mnavyopambana na huyo jesus mtafikir mchezaji wa maana.man city wanaogopa ya RVP kwa arsenal baada ya kuhamia man u.nilishasema hapa jesus au man city wanaitumia arsenal kwa pamoja.city wapate transfer fee ya maana na mchezaji apate mkataba wa maana.hii tunaita win-win situation na tusipoangalia arsenal tunapotezewa muda.
jamaa hawana shukrani tuliwauzia nasri,clichy,sagna na adebayor ila wao kutupa jesus wanaona nongwa