Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kuna wakati unahitaji a bull striker jamii ya diego costa,drogba yaani mtu ambaye he is so bullying kwa opponent defenders,na kuna muda unahitaji brain,tactical and agressive defender jamii ya eduado da silver yaani, pia kuna muda unahitaji hunter -striker yaani yeye anaonekana wakati wa tukio
 
Ashley Cole left Arsenal and won the CL
Thierry Henry left Arsenal and won the CL
Olivier Giroud left Arsenal and won the CL
Serge Gnabry left Arsenal and won the CL
Dani Ceballos left Arsenal and he just won the CL
Who next to leave Arse in order to lift CL Trophy?
 
Finally the Perisic deal has already done to start playing EPL for next season 2022/23 in Tottenharm Hotspot stadium.
 
Na kiwango chake si kime drop pia
Kama kiwango unamaanisha magoli huyu jamaa hajawahi kupata magoli zaidi ya 8 kwa hivi karibuni yaani siyo mtu wa kuscore nafikiri tulimtaka msimu wa 2019/ 20 na msimu mzima aliumaliza na magoli matatu.

Msimu uliopita kaumaliza na magoli sita.

Msimu huu magoli saba isipokua kuna attribute kaiimarisha ambayo ni vision na passing accuracy.

So kwa jamaa hausubiri magoli unasubiri through balls, assists na one two
 
Mchezaji wa Real Madrid akimaliza muda wake barua ya kuagana inakuwa kama hii hapa, je wa kwenu akimaliza muda wake barua yake ya kuwaaga inafananaje ninyi academy club??
 
And Arsenal made a right call. Yaani sasa hivi Aouar mngesema Edu na Arteta wamekula hela. Angekuwa ni pepe mwengine huyu. Tutulieni watu wafanye kazi zao
ukitazama timu zenye financial muscles kama chelsea,man united na hata city namna wanavyoingia chaka kwa usajili wa baadhi ya wachezaji tena waliogharimu pesa nyingi kuna kitu unajifunza kwa klabu yetu yenye hela za manati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…