Pole sana mkuu, kuna watu wanaojua mpira sana, watakuambia wewe huna ujualo mkuu.MAY 22 na pia naapa Mungu yupo next season tutarudi na kauli hizi hizi no way foward wakati Rivals wanaendelea kujaza trophies kwenye Makabati TUKUTANE MAY 22
Mimi nimepiga sana kelele since January 2022 nikatukanwa mno na hapo CONTE alikuwa bado mgeni Spurs bro na nikasema TUKUTANE MAY 22 today ni MAY 22 tumejionea hali halisi bro Arsenal kupata Big achievements ni ndoto kubwa Owner knows nothing about football hata now on hajui final position ya Arsenal yupo anapanda farasi USA [emoji631] Arsenal fans wanaona kuna progress which progress?tumefail kusecure top 4 wakati hatukuwa na any European competition na tulikuwa 3 games in hand ?ukiangalia wakati tupo kwenye Europe competition tumemamaliza 8th position in a row next season naona ni Majanga na uzuri huwa nkisema jambo linatokea we shall see broPole sana mkuu, kuna watu wanaojua mpira sana, watakuambia wewe huna ujualo mkuu.
Ulisema sana toka January, watu wanaona Arteta ni mzuri sana, binafsi hata Emery ana nafuu, ana makombe, ni mshindani...sisi kazi yetu ni kujaribujaribu tu, mara inexperienced coach, wachezaji wa cent tano, utegemee kunyanyua kwapa may. May ni mwezi wa mabingwa...champions play in May...keshokutwa ni ucl, champions tu ndio wanacheza, sisi tutasubiri sana na huyo Arteta.
Kama now on Aaron Arsenal amepotea humu ataibuka na tetesi utashangaa Nketiah kasign contract mpya na siku zitaendaNgoja window ya kununua ianze, utasikia tetesi za wachezaji karibu wote ulaya wanahusishwa na arsenal, mwisho wake tunawanunua kina "tavares". Kroenke ni disgrace kwenye soccer na has arsenal.
Ngoja window ya kununua ianze, utasikia tetesi za wachezaji karibu wote ulaya wanahusishwa na arsenal, mwisho wake tunawanunua kina "tavares". Kroenke ni disgrace kwenye soccer na has arsenal.
Arsenal kupata achievements inahitaji WAARABU or EUROPEAN people sio AMERICAN people Arsenal hapo itainuka imagine Arteta anapewa new CONTRACT na ameachieve nothing for the big team kama Arsenal it means hakuna bosi anayefuatilia ligi wala kutoa hela ya kununua Good players [emoji6] [emoji106]
Nyie arsenyeto nishaambia ukiona timu ina milikiwa na mmarekan,muingereza tegemea maumivu ya moyo timu wape waarabu na warusiArsenal kupata achievements inahitaji WAARABU or EUROPEAN people sio AMERICAN people Arsenal hapo itainuka imagine Arteta anapewa new CONTRACT na ameachieve nothing for the big team kama Arsenal it means hakuna bosi anayefuatilia ligi wala kutoa hela ya kununua Good players [emoji6] [emoji106]
Dah, tavares abadilike aisee, amekuwa akifanya makosa hayo hayo repeatedly. Bado ni mzuri kama back-up, ila kama first choice mmh, bahati mbaya huyo Tierney ni pancha sana.Tavares akipata kocha mzuri, akaondoa udhaifu aliokuwa nao, ni bonge la mchezaji
Mbona Liverpool ipo chini ya wamarekani na wanafanya vizuri sana?Nyie arsenyeto nishaambia ukiona timu ina milikiwa na mmarekan,muingereza tegemea maumivu ya moyo timu wape waarabu na warusi
Wamekuja lini Hao us na imeanza kufanikiwa liniMbona Liverpool ipo chini ya wamarekani na wanafanya vizuri sana?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arteta apewe mitano tena, Arteta ni bonge la kocha hata Klopp na kipara hawamfikii.Pole sana mkuu, kuna watu wanaojua mpira sana, watakuambia wewe huna ujualo mkuu.
Ulisema sana toka January, watu wanaona Arteta ni mzuri sana, binafsi hata Emery ana nafuu, ana makombe, ni mshindani...sisi kazi yetu ni kujaribujaribu tu, mara inexperienced coach, wachezaji wa cent tano, utegemee kunyanyua kwapa may. May ni mwezi wa mabingwa...champions play in May...keshokutwa ni ucl, champions tu ndio wanacheza, sisi tutasubiri sana na huyo Arteta.
Next season we will talk the same issue like this you address here I Swear to GODWith the squad we have, we were capable of getting into top four, our players lost their focus and became nervous. They didn’t know the advantages they had until when the opportunity had fallen in spurs hands
Acha kuwaumbuwa watu bana...Mbona Liverpool ipo chini ya wamarekani na wanafanya vizuri sana?
The season is over, tushukuru Mungu kwa hilo dogo tulioambulia, tukutane kwenye tetesi, lakini sio za TheSun