Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunaenda kucompete kwenye European Competition ni must kubuy good players fikiria this season hatukuwa na any European competition na tumefungwa more than 13 games what about next season ambayo kila Alhamisi tutakuwa tunasafiri umbali mrefu ?
 
I said this Tukutane MAY 22
 
MAY 22 na pia naapa Mungu yupo next season tutarudi na kauli hizi hizi no way foward wakati Rivals wanaendelea kujaza trophies kwenye Makabati TUKUTANE MAY 22
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…