Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Oya oya
Sasa mnakutana na Everton aliyekamilisha mahesabu, game lenu liko open, mshinde huku mkiomba Spurs ateleze kwa Norwich
Ukubwa wa timu ni nini?
Price ina maana gani kwenye mpira kiufundi? Wachezaji wa timu ipi kati ya Liverpool & United wana price kubwa?
Arsenal have had a £76m bid for Nigeria striker Victor Osimhen, 23, rejected by Napoli. (Calciomercato - in Italian)Ukubwa wa timu unaonekana kw
Arsenal have had a £76m bid for Nigeria striker Victor Osimhen, 23, rejected by Napoli. (Calciomercato - in Italian)
enye balance sheet yake
Arsenal have had a £76m bid for Nigeria striker Victor Osimhen, 23, rejected by Napoli. (Calciomercato - in Italian)
Matamanio yetu ni spurs apoteze na hilo linawezekana. Kuna member huwa anasema arsenal hataki kwenda uefa ila Mungu kaona awapeleke kwa nguvuKuishi ili kuombea spurs afungwe ni uchizi
Ngumu sana mkuu. Yeye Mungu ametupresentia chansi tano na zote tukazinguaMatamanio yetu ni spurs apoteze na hilo linawezekana. Kuna member huwa anasema arsenal hataki kwenda uefa ila Mungu kaona awapeleke kwa nguvuso usishangae Mungu kutupeleka kwa nguvu
Everton wana injuries wengiNgumu sana mkuu. Yeye Mungu ametupresentia chansi tano na zote tukazingua
Ushindi wetu won't matter unless spurs afungwe. Na hiki ndicho kinachokeraEverton wana injuries wengi
Arsenal haina guts za kupeleka offer kubwa kiasi hicho. Sisi tumezoea budget players..Kuna ripoti za uongo zinasema Arsenal tumepeleka ofa ya 90M kwa Osimhen na imekataliwa.
Ukisikia uongo ndiyo huu.
Na hata Osimhen siyo wa level hiyo. Yaani ile ripoti ni ya uongo juu mpaka chiniArsenal haina guts za kupeleka offer kubwa kiasi hicho. Sisi tumezoea budget players..