amna maombi yyte ambyo yatafanikiwa cku iyo n tukubali tu sis n uefa msimu huuArsenal mnatakiwa kupiga ramli kubwa kwenye last match yenu na ile ya Spurs
Spurs kwa bahati mbaya akidroo na Norwhich City mnatakiwa kumfunga Everton goli sio chini ya 16
Huu ni mtihani mkubwa sana kwani 99% Spurs anashinda hiyo game. 0.5% anadroo na 0.5% anafungwa. Mlisoma probability mtaelewa hii ina maana gani kwenu
So kwa kusema hayo ridhikeni tu na pos no. 5 hiyo mna uhakika wa kushiriki Futuhi League
Case ipi ? Xhaka amemsaidia kusema nini?
Ukiamia wewe inatoshaHivi bado mnaitaka Top 4.?Arsenal bora tu mtu hata uhamie zako Newcastle Utd maana itawekewa hela itakua balaa km Man City ndani ya miaka 5-10. Arsenal mm nawashauri tu mhamie Newcastle Utd mtaishi kwa amani. Mkibaki Arsenal msimu ujao hata top 7 hampo maana watakaa
1. Man City.
2. Liverpool.
3. Chelsea.
4. Tottenham
5. Man utd?
6. Newcastle
7. Leicester
8. Everton. Huko chiiini ndio kwenu kuanzi 9 10 ......
Hivi bado mnaitaka Top 4.?Arsenal bora tu mtu hata uhamie zako Newcastle Utd maana itawekewa hela itakua balaa km Man City ndani ya miaka 5-10. Arsenal mm nawashauri tu mhamie Newcastle Utd mtaishi kwa amani. Mkibaki Arsenal msimu ujao hata top 7 hampo maana watakaa
1. Man City.
2. Liverpool.
3. Chelsea.
4. Tottenham
5. Man utd?
6. Newcastle
7. Leicester
8. Everton. Huko chiiini ndio kwenu kuanzi 9 10 ......
Tunaweza tusimlaumu ila nahisi hata yeye mwenyewe ataona ametuangusha sana msimu huu. Hata kama target yake ilikuwa 5-6, surely aliona mapema tu kuwa 3-4 ni attainable kama tu baadhi ya mashabiki tulivyoona. Si rahisi mtu akuelewe eti ulikuwa 7 points mbele ya rival wako na akaja kukupita mwishoni. Hiyo siyo alama ya kocha bora bali ya kocha mbovu. Akisema alipoteza key players ambao alishazoea kuwapoteza kwa misimu miwili kabla, kwa nini hakuleta mbadala wenye viwango? Hapo lawama haimuangukii yeye tu bali team yake yote inaemsaidia, kuanzia makocha mpaka mmiliki.Binafsi simlaumu arteta kwa mahali alikotuacha bali nampongeza kwa sehemu aliyotufikisha.matarjio makubwa yasipofushe uwepo wa kile kilichofanyika.
katika maisha nimejifunza potential ya walimu muhimu sana ambao wanahusika na kila eneo katika maisha.walimu hao ni TIME na EXPERIENCE.hawa hawapatikani kwa pesa ila wanakuja kwa uvumilivu.
Arsenal inatofauti kubwa moja na baadhi ya timu nyingine zenye mafanikio tunayoyatamani.arsenal kuna CULTURE ambayo kila kocha,mchezaji au trainer yeyote lazima aifuate.its not only style of our game but its the way we live in our way.
Kwani hujaona msimamo kuwa top 4 haiwahusu. Hahahah hapo Man u atapanda na Newcastle na wawili wengine afu nyie waleeee kuleew 9 au 10 mwaka 2022/2023Kwan msimu huu hao wengine wako wapi au wamehama ligi?
Mm nihame niende wapi wakati nipo kwa pride of London . Chelsea FcUkiamia wewe inatosha
Arsenal mnatakiwa kupiga ramli kubwa kwenye last match yenu na ile ya Spurs
Spurs kwa bahati mbaya akidroo na Norwhich City mnatakiwa kumfunga Everton goli sio chini ya 16
Huu ni mtihani mkubwa sana kwani 99% Spurs anashinda hiyo game. 0.5% anadroo na 0.5% anafungwa. Mlisoma probability mtaelewa hii ina maana gani kwenu
So kwa kusema hayo ridhikeni tu na pos no. 5 hiyo mna uhakika wa kushiriki Futuhi League
Hii ni hoja ya kishamba, Arsenal ana point 66 + 1 game in hand na timu ipo 5th, hiyo last season unayoona kuwa timu zilisajili sijui zilikuwa vizuri, basi ujue united alikuwa 2nd na point 74, liverpool 3rd 69, Chelsea 4th 67, ungekuwa mjanja ungeelewa ligi imeadvance tactically wala si utumbo unaoongea.Hapo napo nawaambia washukuru tu mwaka huu baadhi ya timu zipo vibaya hazikusjili vzr madhara ya covid 19 ila wangekaaa namba 9 huko au
kitu ambacho nakubaliana na wewe nikwamba kwa miaka kadhaa arsenal imekuwa haijui jinsi ya kumaliza ligi.hili tatizo kwa haraka waweza dhani timu haijui jinsi ya kushinda mechi muhimu hasa zilizobeba hatima.enzi za ferguson kati ya vitu vilivyompa ubora ni namna alivyokuwa akicheza mechi kumi za mwisho za kumaliza ligi.wenger naye alikuwa very weak on how to finish the league.kuna mtu aliwahi kusema recruitment team yetu haileti quality players!!!.ni kweli.ila ukienda one step ahead utagundua sio technical quality bali ni mental quality iliyotuua mwaka huu.Tunaweza tusimlaumu ila nahisi hata yeye mwenyewe ataona ametuangusha sana msimu huu. Hata kama target yake ilikuwa 5-6, surely aliona mapema tu kuwa 3-4 ni attainable kama tu baadhi ya mashabiki tulivyoona. Si rahisi mtu akuelewe eti ulikuwa 7 points mbele ya rival wako na akaja kukupita mwishoni. Hiyo siyo alama ya kocha bora bali ya kocha mbovu. Akisema alipoteza key players ambao alishazoea kuwapoteza kwa misimu miwili kabla, kwa nini hakuleta mbadala wenye viwango? Hapo lawama haimuangukii yeye tu bali team yake yote inaemsaidia, kuanzia makocha mpaka mmiliki.
"Conte angekuja toka mwanzo Spurs ingekuwa mbali sana" bila kujua Nuno kafukuzwa kipindi Spurs na Arsenal tofauti point mbili , so Conte kastrength january Kulusevski & Bentancur + Kane & Son in best X1 ila wanavyomuhype kama kaoverachieve something big.View attachment 2231066
Haya wewe bishia ila tuombe uzima tu. Mwakani muda kama huu tukiwa na uzima tutaonaHii ni hoja ya kishamba, Arsenal ana point 66 + 1 game in hand na timu ipo 5th, hiyo last season unayoona kuwa timu zilisajili sijui zilikuwa vizuri, basi ujue united alikuwa 2nd na point 74, liverpool 3rd 69, Chelsea 4th 67, ungekuwa mjanja ungeelewa ligi imeadvance tactically wala si utumbo unaoongea.
Kama haja achieve big basi kaeni pale top 4?? 😜🤣🤣🤣"Conte angekuja toka mwanzo Spurs ingekuwa mbali sana" bila kujua Nuno kafukuzwa kipindi Spurs na Arsenal tofauti point mbili , so Conte kastrength january Kulusevski & Bentancur + Kane & Son in best X1 ila wanavyomuhype kama kaoverachieve something big.View attachment 2231066