We unataka kuargue mambo ya mpira na mimi! Kwamba Arsenal iwekeze pesa! Hivi ukiachana na Allison & Van dijk kuna mchezaji gani wa Liverpool mwenye bei special Arsenal wangeshindwa kumnunua?Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.
Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.
Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.
Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
We jamaa hua unaongeaga point kinoma, unawabananisha wenzio kwa maswali ya IQ kubwa, wakikosa majibu wanaanza kukudhihaki na kukutukana kisha wanakuita mamluki.Mimi na wewe ni fans wa Arsenal but hujantajia big achievements za Arsenal in 15 years taja tuone hizo achievements unazojivunia!I repeat kuwa fan wa timu fulani is not an issue but those teams ulizozitaja for now unaweza ukazilinganisha na Arsenal ambayo ni big team na timu tajiri kwa kizazi cha sasa?kuzilinganisha hizo teams na Arsenal it means umekubali kuwa Arsenal ni smallest team in the world [emoji289] right?
Sure, loyalty is not grey, it is black or White. Few will understand.[emoji16]Kwahiyo unadhani wale mashabiki wa Blackburn Rovers na Nottingham forest na Newcastle wote hawajui??? This is football!
Sisi ni washabiki wa Coastal Union n tulishinda kombe la Tanzania 1988 ila hutuambii kitu na timu hii na Sisi sio wajinga
How?
Yes! And we have taken some serious oaths on this team. We will go with it no matter what! Yes, it pains us, so much! So much that one can't imagine. But we will remain Gunners foreverSure, loyalty is not grey, it is black or White. Few will understand.[emoji16]
Case ipi ? Xhaka amemsaidia kusema nini?Arsenal ina serious case ambayo coach ameshindwa ku address. Xhaka amemsaidia kusema
Huyu jamaa hajitambui inawezekana kazaliwa after inviciblescheap reasons to write
Kivipi?
We unataka kuargue mambo ya mpira na mimi! Kwamba Arsenal iwekeze pesa! Hivi ukiachana na Allison & Van dijk kuna mchezaji gani wa Liverpool mwenye bei special Arsenal wangeshindwa kumnunua?
.Mo salah kutoka Roma ?
.Sadio Mane kutoka Soton?
.Luis Diaz ?
.Fabinho?
How?Basi let's agree to disagree kwamba Arsenal kuna shida kwenye scouting! Isn't it?
Newcastla hatakiwi kumfunga Arsenal? If yes, why?Kwasababu ya mifano yako ya juu jinsi ulivyonijibu unavyoshindana na Timu kubwa lakini unapata shida kwa Kina Newcastle and other Teams za bottom half of the table.
Hii ni small Team Mentality
Kupata matokeo mabaya hasa kwa michezo muhimu inaumiza sana lkn nadhani kuna muda watu tunasahau uhalisia wa mpira/michezo. Kila timu inaweza kupata matokeo chanya kwa mpinzani wake bila kujali mpinzani ni mkubwa kiasi gani. Local fans tunashabikia kihisia kuliko kiuhalisiaNewcastla hatakiwi kumfunga Arsenal? If yes, why?
Huyo jamaa hana tofauti na OllaChuga OcArsenal fans wanachekesha wakishinda mechi mbili tatu basi uchambuzi na tetesi uchwara zinajaa humu pamoja na vingereza vingi uzi unapanda kila wakati fans kibao wapo active lakini wakipigwa wanapoteana kabisa isipokuwa wachache.
Hivi jamaa Aaron Arsenal mbona haungani na fans wenzake wkt wa mojonzi yeye Kazi tetesi na habari za mazoezini timu inapokuwa kwenye form? mbona sisi Nyumbu tuko hapi muda wote uchumbuzi unaendelea wakina Flano , Allypipi na wengine hawapoi ?
Ukweli mchungu huu. Kikosi kimekosa maturity na discipline kuanzia kocha. Tumeamua kuwapa muda wapevuke so acha tu tuumie. Chance tumeipambania mpaka tukaishika mikononi halafu tukaiachia tena wenyeweMtaenda madogo wakikua.
it hapen for reason or incidentUkweli mchungu huu. Kikosi kimekosa maturity na discipline kuanzia kocha. Tumeamua kuwapa muda wapevuke so acha tu tuumie. Chance tumeipambania mpaka tukaishika mikononi halafu tukaiachia tena wenyewe
Binafsi simlaumu arteta kwa mahali alikotuacha bali nampongeza kwa sehemu aliyotufikisha.matarjio makubwa yasipofushe uwepo wa kile kilichofanyika.it hapen for reason or incident
Ila timu kubwa inapata matokeo chanya kwenye mechi nyingi ili iwe bingwa au ishike nafasi nyeti za kushindania makombe makubwea. Timu ndogo inapokonywa points nyingi na timu ndogo na kubwa na hivyo kuifanya niwe kwenye position mbaya kwenye table. Hiyo fact ni vyema pia uisemeKupata matokeo mabaya hasa kwa michezo muhimu inaumiza sana lkn nadhani kuna muda watu tunasahau uhalisia wa mpira/michezo. Kila timu inaweza kupata matokeo chanya kwa mpinzani wake bila kujali mpinzani ni mkubwa kiasi gani. Local fans tunashabikia kihisia kuliko kiuhalisia