Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arse8 tulishayaambia kuwa furaha yao ni kujitutumua kuzifunga timu kubwa tu kama Chelsea, Man Utd lakini wataendelea kubaki kuwa underdogs tu hadi dunia isimame ila wameshupaza shingo [emoji1787]
Waalikuwa na mupango wa kutia aibu timu za London Hawa ..tumewashitukia😂😂😂😂😂
 
..dah! ndungu zangu tukubali tu..msimu uliopita tulimaliza nafasi ya 8..angalau tumepiga hatua kidogo msimu huu nafasi ya 5...kiukweli kwa timu yetu jinsi ilivyo Europa League ndo level yetu..#coyg
Hili la msingi sana, tulimaliza 8th msimu uliopita, msimu huu tumepanda hadi 5th. Hatuna sababu ya kujiumiza sana, ndio nafasi yetu hiyo.

Hata hivyo, isingekuwa Conte effect 4th spot ingekuwa yetu, kumbuka kabla ya yeye kuja Spurs timu ilikuwa imeshapoteana kabisa, huyu jamaa anajua kuleta positive impact kwa muda mfupi sana.
 
Uyo bellerin kitambo Ni shoga aanajulikana, Hawa akina pepe na hao madogo wengine lacazete anawafukua wakija kwenye pitch hamuna marinda Tena watoto mchele mchele wanaishia kuruka ruka uwanjani
lacazete mpuuzi sana, kashindwa kutikisa nyavu za timu pinzani kaamua kutikisa tundu za team mates wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kocha wanaye mzuri sana, ila sasa wachezaji.......[emoji16][emoji2960]
 
Ulishajiapiza viapo vya kila aina lakini sasa cha ajabu maumivu yako ni furaha kubwa mno kwa unaowategemea kukupa faraja [emoji38]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…