Mimi nimeanza kukuambia. Lakini wewe si ndiye umeanza mambo ya kunyanduana?Nan alianza kumwambia mwenzake mambo ya usaili.?
Naona team Arsenal vs team Chelsea mnabishanaMimi nimeanza kukuambia. Lakini wewe si ndiye umeanza mambo ya kunyanduana?
Wapumbavu achana nao hao fans wao wanakupotezea muda tu kuargue nao for nowNaona chelsea wamerojeka mang'anyu mang'anyu
Ana level ya timu zake anataka kucheza kabla hajastaafu na sio Arsenal AnkalWhy Arsenal tusipeleke ofa Robert Lewandoski?tena fee haitakuwa kubwa why?tukiqualifychampions league tumsign best striker in the worldatatupa Big trophieshuyu
Tusisikilize hizi kelele.
Tukimfunga Newcastle na Everton hizo ni points 72 na namba nne tunakua tumeikaa.
Kama tutashindwa kufunga timu zilizo nafasi ya 14 na 16 kipindi cha muhimu kama hichi basi haina haja kwenda huko CL.
Real Madrid kuna Benzema PSG kuna Messi Manchester City kuna Haaland Manchester United kuna Ronaldo why not us?ina maana sisi ni middle team?bro tukifuzu champions league anything can happen kusema ana level ya team zake na sisi hatumfai basi itakuwa tumeshuka lilevel ya soccer in high speedAna level ya timu zake anataka kucheza kabla hajastaafu na sio Arsenal Ankal
Huo ndo ukweli mkuu tumepoteza mvuto wa wachezaji wazuri na wakubwa wote dunianiReal Madrid kuna Benzema PSG kuna Messi Manchester City kuna Haaland Manchester United kuna Ronaldo why not us?ina maana sisi ni middle team?bro tukifuzu champions league anything can happen kusema ana level ya team zake na sisi hatumfai basi itakuwa tumeshuka lilevel ya soccer in high speed
Hizi mbuzi ni za ligi ya mchangani tu, wana miaka 10 ya kuendelea kucheza futuhi za alhamisi.
Kuna chansi kubwa ukampata Hazard, Suarez au Griezman kuliko Lewa.Why Arsenal tusipeleke ofa Robert Lewandoski?tena fee haitakuwa kubwa why?tukiqualifychampions league tumsign best striker in the worldatatupa Big trophieshuyu
Sasa mchezaji anaejielewa kweli aje kwenye hio Academy kufanya nini?Huo ndo ukweli mkuu tumepoteza mvuto wa wachezaji wazuri na wakubwa wote duniani
Robert anaenda Barcelona....... Ni swala la muda tu
Teams za yeye kucheza ni either real Madrid au barca. Kuna wachezaji wanakuwa na ndoto zao, I doubt kama arsenal wanaweza kuwa sehemu ya ndoto za Lewa.Why Arsenal tusipeleke ofa Robert Lewandoski?tena fee haitakuwa kubwa why?tukiqualifychampions league tumsign best striker in the worldatatupa Big trophieshuyu
Ana level ya timu zake anataka kucheza kabla hajastaafu na sio Arsenal Ankal
So painfulHuo ndo ukweli mkuu tumepoteza mvuto wa wachezaji wazuri na wakubwa wote duniani
Robert anaenda Barcelona....... Ni swala la muda tu
Sasa mchezaji anaejielewa kweli aje kwenye hio Academy kufanya nini?
Hio club yenu ni sawa tu na hizi kindergarten, kazi yenu ni kulea na kuwabadilisha diapers watoto wadogo.
Kuna dili la kumsajili Makwinyoz (Marquinhos) kwa dau la €3m hilo nina imani mtafanikiwahaya bana
Inspirational (motivation) SpeakerTusisikilize hizi kelele.
Tukimfunga Newcastle na Everton hizo ni points 72 na namba nne tunakua tumeikaa.
Kama tutashindwa kufunga timu zilizo nafasi ya 14 na 16 kipindi cha muhimu kama hichi basi haina haja kwenda huko CL.
Hata Arsenal ndoto yao sio kuwa na Lewando that's why wanasumbuka na Jesus, ukiuelewa mpira tactically utagundua Ivan toney ni bora kuliko Lewandowski kwenye hii Arsenal team.Teams za yeye kucheza ni either real Madrid au barca. Kuna wachezaji wanakuwa na ndoto zao, I doubt kama arsenal wanaweza kuwa sehemu ya ndoto za Lewa.
Kwa sasa hata utoe uchambuzi wa kina Gary Neville, timu yetu haina uwezo wa kusajili high profile players. Hata huyo Jesus, tukishindwa kukwolify CL hutamuona. Wewe unayejua tactics tuambie nani atakubali kuja kucheza europa league na profile yake inayoeleweka.Hata Arsenal ndoto yao sio kuwa na Lewando that's why wanasumbuka na Jesus, ukiuelewa mpira tactically utagundua Ivan toney ni bora kuliko Lewandowski kwenye hii Arsenal team.
Profile, profile, profile, profile wazee, sio tu ukiwa na quality basi unasajiliwa.