PoaSawa, mm nshafika niko block 5 bondeni huku
Mukishafungwa huwa munawaza kupakuana tope tu ..nyie kweli gaygooner fc😂😂😂
Arsenal wakiwa mazoezini wakipractice style ya "Airtel wizi wa bando"Mukishafungwa huwa munawaza kupakuana tope tu ..nyie kweli gaygooner fc
Sioni uhusiano wa picha na hoja yako!Displine hakunaView attachment 2223014
Conference league group BArsenal wakiwa mazoezini wakipractice style ya "Airtel wizi wa bando"View attachment 2222877
Kama wakawekwa kwenye grupu lolote lenye Vitesse, Basel na Brondby anakufa kwa hawa wote 3Conference league group B
Nyumbu vs Vitesse
Nyumbu vs Hapoel tel Aviv
Nyumbu vs Fc Basel
Nyumbu vs Brondby
😆😆😆😆😆 hadi hesabu zimekuwa ngumu ghafla.Yaani ushinde game moja na kutoa sare moja halafu totte ashinde game zake zote mbili na bado uwe nafasi ya nne?
Kupata vichekesho vingine kama hivi tubonyeze ngapi?
Alikuwa anausongo na yeyote yule, labda Arsenal zaidi ila alivyochezesha mwanzoni angetoa nyekundu kwa timu yoyote itakayowahi maana ile njano aliyotoa kwa spurs sikuona sababu ya kuitoa, haswa dakika za mwanzo vile. Nikajua huyu refa leo lazima amlime mtu red. Nikatumaini itakuwa mtu wa Spurs ila sisi tukawawahi aiseeSawa sawa mkuu. Kuna siku refa anakuwa upende wenu au anawauwa moja kwa moja. Ndiyo mpira. Niseme tu kuwa jana mlikamiana kila mmoja alihitaji matokeo ili awe salama kuingia top 4. Wachezaji wakatumia mbinu kumpresurize arsenal mkazidiwa maarifa.
Pole sana bro. I don't get too emotionally invested in things I have no control over. I just remind myself that it's just football and, however disappointed I am, there a possibly billions of other people way more disappointed and heartbroken than me. Chin up bro. Jumatatu tutamkamata boya wetu na kumshindilia vilivyoThe disappointment was written on my face this morning, to the point that even my supervisor starting asking if any member of my family died or if I was sick?
To bottle this position will be so painful so painful, it will be up there with the MOST PAINS as an Arsenal supporter.
Usaili ni interview kwa kiingereza.Ok. Usaili ndo nini hiyo? Kuna mida nilibrowse humu nikakuta unagombana na nyumbu flani na mnaweka miadi ya kukutana dom kwenye usaili. Nikadhani ni plans za kwenda kupigana ngumi kwa style ya 'duel' kama ma gentleman ya kizungu karne 2 zilizopita hehehe. Nieleweshe please
DAIMA AKILI ZAO ZIKO HIVI DUNIA NZIMA.Walivyoenda mapumziko Conte amewakataza wachezaji wake wasifunge zaidi ya goli 3 kisa eti ni home boy, wanaogopa mashabiki wa Arsenal hapo North London wanaweza kuwafanyia kitu mbaya wachezaji wa Spurs pamoja na familia zao.
Mashabiki wa AsaniAli mkishindaga mechi mbili tatu hua mnamdomo kwelikweli na hiko ki Academy chenu.
Hawa watoto mnatakiwa muwakuze wakikomaa komaa mnawauza mnapata pesa ya kuendeshea hio Academy yenu.
Habari za Uefa sijui makombe hizo achaneni nazo, uzeni hao watoto ili Kroenke apate faida kwenye hio biashara yake ya uwekezaji alioufanya kweye hiyo Academy.
Will be good to happen that wayPole sana bro. I don't get too emotionally invested in things I have no control over. I just remind myself that it's just football and, however disappointed I am, there a possibly billions of other people way more disappointed and heartbroken than me. Chin up bro. Jumatatu tutamkamata boya wetu na kumshindilia vilivyo