Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Newcastle game ni must kushinda Tottenham ataplay before us so Home advantage vs Everton itakuwa ni msaada kwetu otherwise tutakimbia Jukwaa
 
Walivyoenda mapumziko Conte amewakataza wachezaji wake wasifunge zaidi ya goli 3 kisa eti ni home boy, wanaogopa mashabiki wa Arsenal hapo North London wanaweza kuwafanyia kitu mbaya wachezaji wa Spurs pamoja na familia zao.

Mashabiki wa AsaniAli mkishindaga mechi mbili tatu hua mnamdomo kwelikweli na hiko ki Academy chenu.
Hawa watoto mnatakiwa muwakuze wakikomaa komaa mnawauza mnapata pesa ya kuendeshea hio Academy yenu.
Habari za Uefa sijui makombe hizo achaneni nazo, uzeni hao watoto ili Kroenke apate faida kwenye hio biashara yake ya uwekezaji alioufanya kweye hiyo Academy.
 
Niwakumbushe tena mkifungwa hii mechi
Mbele mna Necastle larger na Everton iliyobatizwa kwa moto wa Lamparf

Spurs game zake mbili ni uji wa mgonjwa
Norwich na Burnley

Sisi Chelsea tuna maji ya kilimanjaro ni kunywa tu
Leicester city na Watford
Hapa ndo' kazi ilipo.
 
Newcastle game ni must kushinda Tottenham ataplay before us so Home advantage vs Everton itakuwa ni msaada kwetu otherwise tutakimbia Jukwaa
Kwa Newcastle labda mshinde njaa.
Niliwaambia tokea mwanzo kwenye hizi mechi 3 mlizobakiza mkijitahidi sana mtapata points 3 ila kuna uwezekano mkubwa mkaishia kupata point 1.
Kile unachowaambia wenzako kila siku halafu wanakubeza ni bora wajionee wenyewe maana hawachelewi kukuita mamluki kila unapojitahidi kuonyesha mapungufu yaliyopo kwenye timu.
 
Holding huwa anatulia sana lkn leo alikuwa kapania/kakamia sana. Huwa zinatokea mara moja moja kwenye derby wachezaji kukamiana lkn yote kwa yote leo ndo nimemuelewa vzr Arteta kumtoa matineli aliekuwa anaonekana kuwa msumbufu kwa wapinzani na kumuingiza Rowe
 
Holding tokea mechi inaanza alikua anamchezea rafu za kipumbavu sana Son, kuna kipindi aliniudhi mpaka nikatamani mimi ndio ningekua refa wa hii mechi.
 
Holding is so bad bro, technically limited huwa silaumu mchezaji kwa mihemko.
 
Mtajua huko kwenye conference league
Chapati nyingine hii.

Arsenal kajihakikishia kwenda Europa tangu game na Westham.

Angeshinda leo angejihakikishia CL.

Hajashinda anabakiwa na majaribio mawili ili kusecure nafasi ya CL.

Pimbi wewe.
 
Mikel Arteta on the loss: “If I say what I think, I’ll be suspended for six months.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…