Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ebu kuweni serious msajili ... kweli unakaa kutegemea kina Smith Rowe, Lokonga, Nketiah, Soares and alike, hao ni wachezaji wa Championship huko.
Usikuze mambo, sio kweli kuwa SR ni wa championship, sema we don't have big characters for big games. Mbona tuliwafunga Chelsea kwao, bad days happen in the office.
 
Itakuwa ngumu sana kumfunga Newcastle!
 
KUPATA KICHEKESHO KAMA HIKI.......
 
Tukienda CL ndio timu inaweza kuleta high profile players. Hakuna mchezaji mzuri anayetaka kwenda Europa...

Newcastle will be a very difficult opponent, yaani kumfunga Newcastle kwake itakuwa kiunzi kikubwa kuliko tulivyomfunga Chelsea kwake
 
Tusipoteze matumaini. Leo na mpaka mwisho wa msimu nampa Arteta support yote.
 
Pamoja na kwamba I am Arsenal fan, I am not convinced kama tuna timu ya kucheza ucl

Sasa kama hamna timu ya kucheza Ucl mnakomaa kwann? Acheni hiyo nafsi acheze tot altleat anakuwa na challenge UCL
 
Tusipoteze matumaini. Leo na mpaka mwisho wa msimu nampa Arteta support yote.
Arsenal kwenda Europe competition (Europa league)it means hatutapata quality players milele for example Jesus Tielemans hao wote wanasubiri msimu uishe I swear to God kama tutashindwa kuqualify champions
league hatutapata hata player mmoja wa maana Aaron Arsenal atakuja na tetesi na zitaishia hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…