SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
There's no way man, no way at all!I still argue that we can come back. We need one quick goal at the beginning of the second half. We also need to capitalize on every chance that we will get.
Lingine tena!?Bado nasubiria hii comeback na ikitokea itavunja rekodi ya EPL
Zilikuwa mbili kwanza hajaonywa, ya pili kaonywa, ya tatu njano ya nne njano ya piliMan ile ya kwanza ref hakutoa straight yellow, kulikua na first offence akaonywa kwa mdomo, na kupewa yellow baada ya second offence.
Sent using Jamii Forums mobile app
SOOOOOOOOOOOOOOOONSuper Takehiro Tomiyasu will block Son from firing any shot on target today. This is a must win match. We've got this
Arsenal huwa wanamkono mfupi mkuu!Ebu kuweni serious msajili ... kweli unakaa kutegemea kina Smith Rowe, Lokonga, Nketiah, Soares and alike, hao ni wachezaji wa Championship huko.
Spurs atapigwa kama walivyopigwa wenzake
Nyumbu
Chelshit
Westham
Spurs hana sababu ya kutopigwa,
Son anashikwa na tomiyasu
Kane anashikwa na holding (huyu anajua umuhimu wa hii game na heshima yake)
Xhaka na Broo mudy wanatawala ile middle yote
Martinel
Saka
Unatosha kuweka
Odegard
Huyu mtu arsenal bado hatumtendei hali,
Ndio anaeongoza ku create chances za goals,
Anajua kuupaka Mpira rangi mka enjoy na kuenjoy
Updates vision of OZIL
Kila kinywa kitakiri kua nyinyi ni wa ndondo cup.Pamoja na kwamba I am Arsenal fan, I am not convinced kama tuna timu ya kucheza ucl
Kuna ile ya "Hamza kafia ubalozini"Wazee wa clean shit tulikubaliana leo ni kugongwa 5, haya badilisheni style Harry goli lake la 3 anataka mumpe kwa ile style ya mbuzi kagoma halafu Son atamalizia kwa ile style ya "Airtel wizi wa bando"
Tayri zimefika 3 bado 2Spurs wamesema leo hawataki ushindi wa goli chache, wameahidi ushindi wa leo ni kuanzia goli 5 na kuendelea.
View attachment 2221512
Timu za Academy hua hazichezi CL,Tatizo la Arsenal ni nini?players or coach or board ?why ?game muhimu kama hii licha Refa katoa penalty ya mchongo but tumeshindwa kutulia?why?since 2016 watoto wetu wapo primary and secondary now hatujaplay champions league?We must beat Newcastle and Everton I hope linawezekana hili jambo