Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tokea mpira unaanza anamchezea rafu za kipumbavu Son lakini refa anamkaushia.
Hii mechi Spurs wagongwa goli tano, na Kane anaondoka na mpira.
Ila kwangu faulo ya kadi ni ile ya kiwiko tu. Ile nyingine haikuwa sahihi.
 
Ule ugonjwa wa kupoteza mechi za msingi bado upo kumbe
Tottenham na arsenal huwa game zao ziko hivi, anayefungwa huwa anafungwa vizuri.

Ila arsenal wakitulia bado wanaweza kugeuza matokeo au kupata sare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…